Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

Heshima yako mkuu...
Poa mkuu

Mimi nikitumia My,

mf. My love ambapo kwa kiswahili ni sawa na ''Mpenzi wangu''

Inaleta maana nzuri na ya kawaida sana ambayo haiwezi kuleta dhana kama hizo mnazozifikiria.
 
au mwanaume wa mkoa utakuta linasema xaxa baxi kana kwamba kuandika sasa basi halijui. au utakuta linaimba wimbo wa "nampa papa" ya gigi mane mbele ya wanaume wenzake dah!
Mkuu iyo avatar niaje niaje [emoji54][emoji54][emoji54]
 
Poa mkuu

Mimi nikitumia My,

mf. My love ambapo kwa kiswahili ni sawa na ''Mpenzi wangu''

Inaleta maana nzuri na ya kawaida sana ambayo haiwezi kuleta dhana kama hizo mnazozifikiria.
Tumia My kwenye lugha ya bepari...
Lakini usitumie My kwa kibantu
 
kama wewe ni mwanaume halafu mwanaume mwenzio ndio anakuambia maneno hayo nadhani wewe ndio mwenye matatizo zaidi!!!!
 
kama wewe ni mwanaume halafu mwanaume mwenzio ndio anakuambia maneno hayo nadhani wewe ndio mwenye matatizo zaidi!!!!
True!
Kwanza huyo mwanaume wa kuniita mm et mwaya, sijui joomoon anatoka wapi kwa mfano???
Ujue ujinga hufuata mkondo wake,
Hivi kweli unaweza ukawa na rafki wakiume anatumia maneno kama jomooni!!!
Hiyo itakuwa Wewe mwenyewe mwenye marafk wa hivyo na wew ni walewale
 
Hahahaaa! aiseeh! hivi mtoa mada wewe ni mwenyeji wa wapi? Kwanza neno mwaya hulijui maana yake mbona unalipangia matumizi kwa wenzio!? Pole sana MWAYA
 
Back
Top Bottom