Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

Neno jingine linaloniletea ukakasi likitamkwa na dume ni 'Nafwaa. '
 
Dume zima utasikia linasema "uwiii" huu ni ushoga mzee..

Dar Kuna Nini? Ni wakati Sasa chipsi zikafanyiwa research
 
Kuna Jamaa nilimblock kisa kutumia neno " my" , na kunitumia sms za Good night ....nikamblokilia mbali!! Mwanaume huwezi kumwambia mwenzako Good Night.
 
Back
Top Bottom