Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

au mwanaume wa mkoa utakuta linasema xaxa baxi kana kwamba kuandika sasa basi halijui. au utakuta linaimba wimbo wa "nampa papa" ya gigi mane mbele ya wanaume wenzake dah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ni chembe chembe za us....g
 
Kiukweli kuna baadhi ya maneno yanatamkika kulingana na jinsia, sasa hili neno "mwaya" hakifai kutamkwa kwa mwanaume kabisa , na ukiona mwanaume anatamka neno hilo basi anavinasaba vya ushoga kabisa
 
nahisi linafaa kama litatumika katika mazingira yanayofaa
 
when in romantic environment sidhani kama kuna tatizo kulitumia
 
Mmnafanya mishe zangu mkata naona hili neno la mwaya wanalipenda sana Wazigua na wasambaa
 
Mfano, neno 'baby' ukimuita mwanaume mwenzio ni ugomvi huo.
ilaakikuita mkeo au kumuita mkeo ni tamu Sana;
mke:unataka kujimwayamwaya mume wangu?
Mume: Lala mwaya upumzke mke najua umechoka sana,kazi leo zilikua nyingi sana

So, inategemea na Muktadha!
Acheni kuyafanya maisha kuwa makavu makavu kama Mboga iliyokosa viungo. Izo ndo nakshinakshi kwenye mahusiano. Neno Mwaya ni baya mwanaume kumwabia au kuambiwa na mwanaume mwenzio.

Ila hao wa jomoni, Mara xaxa hao wanakera wote si mwanamke wala mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…