Ni aibu kwa mwanaume

Mtag huyo mdogo ako unaeishi nae ili tumjue
 
Mungu amsaidie dogo janja wetu last born aajiriwe permanent na kufanikiwa zaidi thou keshajiwekea msingi mzuri na hamtegemei tena big sister. We love you our young bro E.
Thanks God

Cc Smart911
Sijakuelewa unatangaza sifa za kijana wenu siungeanzisha Uzi kumhusu yeye mbon unaenda njee ya mada huku umevimba
 
Mimi siishi home kwa wazazi muda mrefu, lakini nina maswali kwako mtoa mada:

Hao wakiishi kwa wazazi ama shemeji zao je huwa wanakuja kukuomba msaada?

Ama je wakiishi huko kwao je wanakukeraje wewe?

Karibu ujibu kinagaubaga.
 
Mkuu, ebu fanya umpe nauli huyo kakayako arudi tu kijijini. Maana unapo lalamika humu hakuna msaada wenye utapata.... tehteehhh
Hivi mnahalalisha vipi kila mtu anazaliwa kijijini? Mkuu hebu pevuka basi
 
Sijakuelewa unatangaza sifa za kijana wenu siungeanzisha Uzi kumhusu yeye mbon unaenda njee ya mada huku umevimba
Ofcourse nampongeza na kumuombea heri make ni wa kiume na alikuwa anakaa kwa big dada mwenye familia yake. Mimi nilikaa kwa shem mpaka nikaajiriwa permanent ndo nikatoka

Yeye hajaajiriwa Ile permanent ila mpaka sasa anapanga na kupambana na life nipo ndani ya mada huoni wanaume wanaokaa kwa mashemeji zao wanavyochambwa?!
Kama nyie hamumpendi dogo wenu niwewe au yawezekana huu uzi kwako ni yalaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!

Cc Smart911
 
Mimi mwanzo nilitembea na vyeti mpaka nikachoka. Badae Nikafanya mpka interview holaa.
Nikaamua kusubiri ajira tu huku nafanya hio tempo

Cc Smart911
Nakwambia we hujatembea na vyeti,mi mpaka stationery ya jirani walinikaririr wakaanza kunipa bahasha na karatasi za bure kwa kuwa nilishakua mteja wa bahasha kwa muda mrefu
 
Hivi mnahalalisha vipi kila mtu anazaliwa kijijini? Mkuu hebu pevuka basi
Siwezi badilika mkuu, sababu hata mimi natokea huku Imalamagigo karibu na Shikalibuga njiapanda ya kuelekea Nyamakwenke
 
kritika inaelekea kuna mmoja anaishi kwako 😀😛😉
 
Pilipili iko shamba inakuwasha vipi?
 
Mxieeew
Kauli ya kipuuzi sanaaa.
Ukikua utaacha shenzi kabisa.
 
Siwezi badilika mkuu, sababu hata mimi natokea huku Imalamagigo karibu na Shikalibuga njiapanda ya kuelekea Nyamakwenke
Ushi leo umepuliza ee?? Kha eti nyamakwenke [emoji23] [emoji23] [emoji23].
hao wa mujini hao hongera yao wacha wabushi tukomae tupambane na hali zetu

Cc Smart911
 
Shem wako haku kuzoza?
Maana ndio tabia zetu kukula mashemela walio nona..... tehteehhh
Dah una sound kama rafiki yangu mmoja akija home lazima aniambie unamuachaje huyu shem wako umkule tu
 
Ushi leo umepuliza ee?? Kha eti nyamakwenke [emoji23] [emoji23] [emoji23].
hao wa mujini hao hongera yao wacha wabushi tukomae tupambane na hali zetu

Cc Smart911
Sijapuliza mkuu, sema hapa ndio namalizia mabaki ya lile jibapa la jana, karibu tupombeke kwa faida.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Dah una sound kama rafiki yangu mmoja akija home lazima aniambie unamuachaje huyu shem wako umkule tu
Mkuu, ebu fanya basi hisani unitumie namba ya huyo shemela ake na wewe....[emoji39] [emoji39] [emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…