Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mtag huyo mdogo ako unaeishi nae ili tumjueNi aibu sana kwa mwanaume mwenye umri kwanzia miaka 25+ kuishi kwa mashemeji,wazazi au wapenzi wenu kwa kisingizio cha kumaliza chuo eti bado huna kazi
Hivi huoni hata aibu mtoto wa kiume kupigania remote na wadogo zako? Huoni aibu kuwa wa mwisho kulala na wakwanza kuamka unamfanya hadi dada yako hafurahii ndoa yake??
mageto yamejaa kibao nenda kapambane na changamoto za maisha
Mxieeeeeeeeeeeew