Ni aibu kwa mwanaume

Ni aibu kwa mwanaume

Huyo mdogo wako una uhakika huu ujumbe umemfikia?Acha hizo mpe mtaji ajishughulishe sio kuja kumsema jf
Wangu ana part time job ila aliona kwa sista sio akaamua kwenda zake kupanga.. Na juzikati aliniomba 50 aongezee aliyonayo akanunue pikipiki. Seriously nilijibana nikamtoa tu injinia wetu make tuna kaka mwingine huyo bange tupu Yani hasaraaaaaa

Cc Smart911
 
Taratibu mahondaw ebu kwanza tuyaache ya kunyumba
 
Nimependa ujumbe wako kwa sababu unatoa changamoto kwa vijana wanaokaa kwa mashemeji zao na especially wale ambao wanauwezo wa kwenda kupigana lakini wanaogopa, bila kuwa aggressive hivi walahi hawaondoki
 
Unakomaa kibishi tu kama hauna msingi wala mwelekeo wowote. Make wengi tukishasomaga hatutaki kurudi vijijini kwa wazee wetu so tunakomaa town kwa madada na makaka zetu.

Cc Smart911
Daah..yani upo unaskilizia jins sista anavopewa mkuyange..bora urudi kijijini ukatulie kwanza
 
Wangu ana part time job ila aliona kwa sista sio akaamua kwenda zake kupanga.. Na juzikati aliniomba 50 aongezee aliyonayo akanunue pikipiki. Seriously nilijibana nikamtoa tu injinia wetu make tuna kaka mwingine huyo bange tupu Yani hasaraaaaaa

Cc Smart911
Bora huyo hajataka kusubiri ajira.Yupo dogo pale nyumbani kazi yake kudeka tu na hivi ni la mwisho....halijiongezi
 
Hahahahaha Pole yao wana yanga. Smart911 mwenyewe Ile siku nilimtesa kweli make tulibet nikashinda usiku nikamnyanyasa hatariiiiiii
The same to my bby,nlimuweka wazi kabisa kuwa This is Siiiimba[emoji23] walichokipata nadhani kila mtu anaelewa
 
Back
Top Bottom