jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Siwezi badilika mkuu, sababu hata mimi natokea huku Imalamagigo karibu na Shikalibuga njiapanda ya kuelekea Nyamakwenke
Nikajua ilyamchele mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi badilika mkuu, sababu hata mimi natokea huku Imalamagigo karibu na Shikalibuga njiapanda ya kuelekea Nyamakwenke
***** nimlishe alafu uje ubabue kilaini acha wale wakware wanaojifanya lete Cv zako kuna mchongo;wewe unaonekana kabisa team bazaziMkuu, ebu fanya basi hisani unitumie namba ya huyo shemela ake na wewe....[emoji39] [emoji39] [emoji20]
Mkuu, huko nilisha hama kabla ya kuhamia Buyange na kisha Bukoli, ndipo nakarudi hukuNikajua ilyamchele mkuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12]***** nimlishe alafu uje ubabue kilaini acha wale wakware wanaojifanya lete Cv zako kuna mchongo;wewe unaonekana kabisa team bazazi
Ni aibu sana kwa mwanaume mwenye umri kwanzia miaka 25+ kuishi kwa mashemeji,wazazi au wapenzi wenu kwa kisingizio cha kumaliza chuo eti bado huna kazi
Hivi huoni hata aibu mtoto wa kiume kupigania remote na wadogo zako? Huoni aibu kuwa wa mwisho kulala na wakwanza kuamka unamfanya hadi dada yako hafurahii ndoa yake??
mageto yamejaa kibao nenda kapambane na changamoto za maisha
Mxieeeeeeeeeeeew
Huyo ni shemeji yako, ndio unatoa povu namna hii... Sasa angekua dada yako, sindio ungeniua kabisa....[emoji15] [emoji15] [emoji15]***** nimlishe alafu uje ubabue kilaini acha wale wakware wanaojifanya lete Cv zako kuna mchongo;wewe unaonekana kabisa team bazazi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tunao kaa kwa shemeji zetu, naona tumeandamwa sana mwakahuu wallah....
Ha ha ha ningekuroga kabisaHuyo ni shemeji yako, ndio unatoa povu namna hii... Sasa angekua dada yako, sindio ungeniua kabisa....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweliHuyo mdogo wako una uhakika huu ujumbe umemfikia?Acha hizo mpe mtaji ajishughulishe sio kuja kumsema jf
Nikweli Jolie tunapolaumu tujitahidi pia kutoa na suluhishoHuyo mdogo wako una uhakika huu ujumbe umemfikia?Acha hizo mpe mtaji ajishughulishe sio kuja kumsema jf
Vitu vingine kuviongea in general way kama hivi pasipo kujua tunatofautiana background ni upumbavuu.Ujumbe umemfikia,mtaji wa elimu unamtosha