madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
- #21
Ameliona andiko sijui kama atathubutuNext mgegedo Robert na yeye amfanyie Hilda muone reaction ya hilda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameliona andiko sijui kama atathubutuNext mgegedo Robert na yeye amfanyie Hilda muone reaction ya hilda
Huyu bwana atakuwa amenogewa kupigwa finger.Aisee ameshindwa kuongea na huyo mwanamke wake.? Hivi wanaume mpojeee
Ukipigwa kidole hata kama wazungu walikuwa wanakuja wanarudi mchezo unaendelea.Yeye anapewa stamina analalamika.Hivi nia na madhumuni ya wadada kufanya hivi ni nn?
Me kudadadeki namzamisha deushe huko 0712 mpaka akome
Umerogwa wewe Kama Ulishawahi kuishi Pwani Ukachomekwa Kidole Ni wewe Acha Ukuda Unaisimulia Ishakunyeshe Enh!!!!Wanaume wengi hasa wa maeneo ya pwani,huwa wanaingiziwa vidole,halafu hawasemi kwakuogopa aibu,ni kama suala la wanaume kupigwa na wake zao,wengi huwa hawasemi.Mimi kwa maoni yangu namsihi huyo mwanaume amwambie huyo dada aache,na kwa saikolojia ya kawaida tu,huyo mdada anampa taarifa huyo mkaka kua yeye(huyo mdada) huongiziwa kidole sehemu ya hajakubwa wakati anagegedwa,kwahiyo anataka nayeye awe anaingizwa,sema jamaa hajamsoma bado.Ninavyofahamu kwa uzoefu wangu,madada wengi sasa hivi wanaingiziwa vidole sana,japo hapa hawawezi kukiri.
Umeandika bila sport sport, hakika kuna Wanaume na wanaume [emoji23]Mwambie awe mkali,aache kujitesa kwa mambo ambayo akiuvaa uanaume halisi wa kiafrika mwanamke lazima ashuke chini ila akitaka kuoneka mzengu kesho yake huyo mwanamke atamuingiza chupa kabisaa, hivi gharama ni kitu gani Mbele ya furaha ya moyo wake!? Kama mwanamke uchumba tu hasikii je ndoa ndio atakusikiliza? Ajiandae kuchanika jicho la tako
Hajui ustaarabu umeanzia pwani,Kiasili mwafrika amestaarabika ila siku hizi tunaigiza yanayofanywa na wenzetuUmerogwa wewe Kama Ulishawahi kuishi Pwani Ukachomekwa Kidole Ni wewe Acha Ukuda Unaisimulia Ishakunyeshe Enh!!!!
next time ataingiza vidole viwili,kemea yy ni mwanaume bhanaSalaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu
Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo
Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro
Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja
Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile
Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo
Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda
Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani
Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama
Assanteni mjumbe hauwawi