Ni aibu lakini hakuna jinsi

Ni aibu lakini hakuna jinsi

heee uyo mdada ni lesbian au? na uyo kaka nae ni mzima kweli kilichomfanya amwachie uyo dada afanye ivyo ni nini? watakuwa wanaizo tabia wote
waowane tu wakifika uko abroad waaply ile kitu inaitwa open minded relationship/sexual coz wote ni washenzi
 
Wanaume wengi hasa wa maeneo ya pwani,huwa wanaingiziwa vidole,halafu hawasemi kwakuogopa aibu,ni kama suala la wanaume kupigwa na wake zao,wengi huwa hawasemi.Mimi kwa maoni yangu namsihi huyo mwanaume amwambie huyo dada aache,na kwa saikolojia ya kawaida tu,huyo mdada anampa taarifa huyo mkaka kua yeye(huyo mdada) huongiziwa kidole sehemu ya hajakubwa wakati anagegedwa,kwahiyo anataka nayeye awe anaingizwa,sema jamaa hajamsoma bado.Ninavyofahamu kwa uzoefu wangu,madada wengi sasa hivi wanaingiziwa vidole sana,japo hapa hawawezi kukiri.
Pwani hiyo unayoizungumzia wewe ni pwani gani? Inayozunguka bahari ya hindi au kibiti? Kama yamekupata huko ni bora ungegeuka kua gaidi tu kuliko kuja Ku generalize
 
Salaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu

Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo

Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro

Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja

Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile

Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo

Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda

Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani

Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama

Assanteni mjumbe hauwawi
huyo holda atakua demu wa Ara😀😀😀
tabia gani ya kupimana oil
 
mkuu dawa yake ndogo sana huyo mwanamke mwambie hivi huyo rafiki yako siku nyengine akiwa anataka kwenda kugegeda hawe anaweka sindono kwenye tuzi yake demu akitaka kuingiza kidole chake tu iweinamchoma alafu. anamwambia humu ndani kuna mdudu apende mchezo huo.sawa mkuu
 
DAAH kweli leo umetuamria asee yan dume zima linazamishiwa dole gumba matakoni afu linasema eti MWANZONI NILIJUA KAKOSEA kama sio kunogewa ni nini???
Afu linasema eti KUMWACHA NASHINDWA ushanogewa wewe manake mbn washindwa kumkemea....au ushaharibiwa kwa TRUMP NN?????
Dah kweli hii kali!
 
Haraka yenye upesi wa ghafla mshauri jamaa yako awe makini atageuzwa kuwa shoga. Kwanza anavumiliaje kukandikwa dole la maketioni? Eti anaona aibu au anapenda? Ilitakiwa aje kuuliza hapa ni dawa gani nzuri atumie mpenzi wake kwa kipigo alichomuangushia!
 
Yabidi akae na mkewe walizungumze hili suala, sio unakaa kimya tu wakati ni suala hatari, kujiinamia kichwa na hata kupata maoni yetu hakusaidii sana maana mwisho wa siku ni yeye mwenyewe bwana robert ndo atamkataza mkewe
 
Salaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu

Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo

Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro

Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja

Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile

Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo

Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda

Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani

Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama

Assanteni mjumbe hauwawi
Piga chini mzigo!
 
Hilda anaweza kuona ni jambo la kawaida na la kufurahisha kimapenzi,kwa sababu nilishawasikiaga wanamama Fulani mitaa Fulani wakiitumia njia hiyo Ili waume wao wadumu muda mrefu mchezoni.

Lakini ina athiri kisaikolojia kama jamaa ako,na sijui kwa nn wanaume mmepewa adam's apple lakini mmekuwa mabingwa wa kulalamika kwa wenzenu au mitandaoni kuomba ushauri.!!!hivi hamnaga maamuzi ya kusema kwa kitu usichokipenda kwa mtu wako?

Au hizo pesa na gari la Dada limemchizisha jamaa anaenda kuolewa na huyo hilda kiasi kwamba hawezi kusema nini kinaendelea anaogopa hatofunga Ndoa?? Atakuja kuwa mchicha mwiba siku si nyingi
 
hivi ni kwa nn wamama wanapenda show ndefu???kuna mmama huyo nilimuomba bila hiyana akanipa penzi..kwa kua alikua ni kifaa kipya nlisugua usiku mzima,,hadi leo ananiombea uchi free p,,,,
 
hivi ni kwa nn wamama wanapenda show ndefu???kuna mmama huyo nilimuomba bila hiyana akanipa penzi..kwa kua alikua ni kifaa kipya nlisugua usiku mzima,,hadi leo ananiombea uchi free p,,,,
Sijui kwanini??? Hata sielewi kwa sababu mi sio mmoja wao. So,sina jibu mkuu.
 
Hivi nia na madhumuni ya wadada kufanya hivi ni nn?
Me kudadadeki namzamisha deushe huko 0712 mpaka akome
Inaelekea mwanaume aliekua nae kabla alikua anapenda huo mchezo... Kuna wanawake wanapenda kugegedwa na mashoga....

Kipindi fulani nyuma kuna mkaka aliandika story ya maisha yake na kuelezea jinsi mpenzi wake wa kike alivyomuingiza kwenye ushoga... Ilianza hivyo hivyo, baadae akaanza muingizia dudu bandia na baadae mkaka akaishia kutumia dudu halisi...

Wanawake wengine ni mashetani kabisa
 
Ni jambo la kukaa chini na mpenzi wake na kumueleza kwa upendo kwamba kuna hili na hili mi sipendi unifanyie mbn ataelewa tuu km nimuelewaa full stop km hawezi kuacha atemane bado mapemaaa.....
.....eti gharama alizotumia kwenye uchumba ni nyingi kwahiyo hawezi muachaa.....
..km hawezi muacha ushauri kaja kuomba wa nn wache aendelee kumtia madole.....
...wanaume wengine bhanaaa tena huyo siyo wa k'njaroo wapare na wachagga hawanaga hizo mambo zakuogopa wanawake.....
...pole yakeee....

"SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI"
 
mwambie kwamba hapo anapewa ishara kwamba atumie..[emoji108] ..!!..nadhani jamaa yako amekuwa mgumu kuelewa....mwambie achangamkie hiyo changamoto kuwa fursa..!!..[emoji1] [emoji108] [emoji108] ....
 
Ukipigwa kidole hata kama wazungu walikuwa wanakuja wanarudi mchezo unaendelea.Yeye anapewa stamina analalamika.
ndio mchezo wako mkuu..??..kuwakawiza wazungu kihivyo..!!..
usenge nyemelezi....
 
Back
Top Bottom