Ni aibu lakini hakuna jinsi

Ni aibu lakini hakuna jinsi

Picha halisi tu ni kuwa huyo dada anatabia za Kisagaji hivyo anajaribu kuonyesha hisia zake AU amezoea kufanywa kinyume cha maumbile hivyo anapeleka ujumbe kwa huyo mwanaume...

Jibu ni rahisi sana. Afuate hatua hizi kupata suluhisho...
1/Akae chini amuhoji kuhusu hicho kitu.
2/Amshauri kuacha hiyo tabia.
3/AMUACHE.
 
Inasikitisha sana...

Hapa namashaka na huyo rafiki yako robert... Kuna kitu kimejificha hapa...

Marekani si ndiyo kwenye uhuru wa karibia kila kitu... Labda hilda anampima jamaa yake kama anafanyiwa huo mchezo...

Cc: mahondaw
 
Ujumbe maridhawa naufikisha
 
Inasikitisha sana...

Hapa namashaka na huyo rafiki yako robert... Kuna kitu kimejificha hapa...

Marekani si ndiyo kwenye uhuru wa karibia kila kitu... Labda hilda anampima jamaa yake kama anafanyiwa huo mchezo...

Cc: mahondaw
Kama ni hivyo huko america ni balaa
 
Inasikitisha sana...

Hapa namashaka na huyo rafiki yako robert... Kuna kitu kimejificha hapa...

Marekani si ndiyo kwenye uhuru wa karibia kila kitu... Labda hilda anampima jamaa yake kama anafanyiwa huo mchezo...

Cc: mahondaw
Mkuu na ww je ikotokea Cc bahati mbaya kama mtoa mada alivyosema akaingiza vidole kunako itakuaje ??
 
Jamaa ametiws kidole naye akakubali zaidi ya mara moja? Bila shaka huyo mwanamke atakuwa ameshatimiza dhumuni lake. Kukaa kimya kwa huyo jamaa ni udhaifu wa kijinga sana.
 
Jamaa ametiws kidole naye akakubali zaidi ya mara moja? Bila shaka huyo mwanamke atakuwa ameshatimiza dhumuni lake. Kukaa kimya kwa huyo jamaa ni udhaifu wa kijinga sana.
Mara ya kwanza alijua bahati mbaya
 
Huyo mchumba labda naye anataka aingiziwe dyudyu kunako nanihii.....!
 
DAAH kweli leo umetuamria asee yan dume zima linazamishiwa dole gumba matakoni afu linasema eti MWANZONI NILIJUA KAKOSEA kama sio kunogewa ni nini???
Afu linasema eti KUMWACHA NASHINDWA ushanogewa wewe manake mbn washindwa kumkemea....au ushaharibiwa kwa TRUMP NN?????
Huyu bwana asimamame kama mwanaume. Amkanye mpenz wake kuwa hiyo tabia haipendi. Sasa yeye anaingiziwa kidole alaf anakuja kukulalamikia?
Grow a spine and be a man
 
Salaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu

Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo

Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro

Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja

Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile

Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo

Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda

Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani

Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama

Assanteni mjumbe hauwawi

Akimuoa tu baada ya mwaka atamwingiza dildo kubwa kama tango [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umerogwa wewe Kama Ulishawahi kuishi Pwani Ukachomekwa Kidole Ni wewe Acha Ukuda Unaisimulia Ishakunyeshe Enh!!!!
Acha kuleta USAMBAA wako hapa,na nyie huko milimani Lushoto mbajiona mko Pwani..?
 
Ila kuna mengi inawezekana huyo Dada ni mtumiaji wa matandao pendwa,msagaji,au anataka kumpima mshkaji kama kafumuliwa malinda
 
Back
Top Bottom