Salamanders
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 365
- 202
Huyo anataka 0713 sasa anashindwa kumwambia ndg ye2 Robert, next match ajifanye kama anakosea, utakupa majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh sio kimtindo huoIla kuna mengi inawezekana huyo Dada ni mtumiaji wa matandao pendwa,msagaji,au anataka kumpima mshkaji kama kafumuliwa malinda
Inasaidia kama unajua kuunga dotsJF sio sehemu salama ya kuja kuomba ushauri kwani utaishia kujiumbua tu.
Kila kitu ni kama wacha tuoneHuyo anataka 0713 sasa anashindwa kumwambia ndg ye2 Robert, next match ajifanye kama anakosea, utakupa majibu
Hongera mkuu ....muwe na Maisha bora
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara ya kwanza alijua bahati mbaya
Hiyo ni hali ya kujidanganya kwa huyo dada kua akifanya hivyo itamjengea mshituko huyo jamaa na kujikaza huku akipush ili amsugue vizuri,lakini hapa swala ni dogo tu.huyo jamaa anapaswa kumwambia mchumba wake kua style yake ya kufurahia hiyo falagha haipendi na atafute namna ya kumhamasisha badala ya kufanya hivyo.ni swala la kuongea nae tu na ataachaSalaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu
Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo
Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro
Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja
Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile
Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo
Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda
Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani
Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama
Assanteni mjumbe hauwawi
Ila kama anaenjoy aendelee tu. Ni mapenzi. Ilimradi sio mwanaume anaemtia dole. Akikubali kidole cha mwanaume itafata dyudyu then shahawaHiyo ni hali ya kujidanganya kwa huyo dada kua akifanya hivyo itamjengea mshituko huyo jamaa na kujikaza huku akipush ili amsugue vizuri,lakini hapa swala ni dogo tu.huyo jamaa anapaswa kumwambia mchumba wake kua style yake ya kufurahia hiyo falagha haipendi na atafute namna ya kumhamasisha badala ya kufanya hivyo.ni swala la kuongea nae tu na ataacha
Loh....Inawezekana alikuwa anapimwa temprecha.
Sasa mi nashauri, kwa mana mpaka sasa inaonekana kua ni wengi wanakajua kadole gumba. Sasa hebu uliza hivi. ... kwa wanaokajua. ..mkono juuu tuoneSalaam wadau