Ni aibu lakini hakuna jinsi

Ni aibu lakini hakuna jinsi

Mkuu sasa atupiwe wapi wakati huko ndiko kwenye zote za kibinaadamu

Atafutiwe tu sehemu. Kalikoroga mwenyewe, lakini hajaoa kwa hiyo ana muda wa kulimwaga .

Halafu excuse ya gharama ni ya kijinga kabisa katika hili.

Hivi dunia ya leo kweli mtu anaweza kununua mbuzi kwenye gunia bado?

Au huyu bwana alishafanyiwa hivyo akapenda, ila akifikiria ndoa ndiyo inamtisha?
 
Simple tu,amwambie kuwa hataki suala hilo asipoelewa aeleweshwe kwa lazima...
Maana usikute mshkaji wa awali wa demu ili kupata stimu ilikuwa lazima afanyiwe kitu hicho then demu akajua ina apply kote.. So akae nae amwambie
 
Walikutana hapa jamaa akawa hakupata muda wa mgegedo aliporudi akaamua akamilishe kila kitu awe nusu mmiliki
 
Yote kwa yote inawezekana
 
Walikutana hapa jamaa akawa hakupata muda wa mgegedo aliporudi akaamua akamilishe kila kitu awe nusu mmiliki
Kila mtu kivyake, lakini huyu katushirikisha kwa hiyo kalifanya liwe letu.

Ni ujuha kuchumbia mwanamke ambaye hujamjua vizuri kimwili. Kwa sababu nyingi sana.

Unajiingiza katika mkataba mrefu sana ambao hujajipa kujiridhisha kama mtawezana.
 
Yeah vizuri sana ndio maana kaomba ushauri kabla ingekuwa kwa upande wangu aaah yaani mpaka mkono unapita rift valley bado unasikilizia ningekua ni shamwaga lakini huyu ndugu bado mvulana ndio kwanza darasa
 
Huyo rafki yako ni mwanaume kamili?
Inamaana yeye ameshindwa kumwambia ukweli mchumba wake kwamba hyo tabia ya kumuingiza kidole haitaki kabisa?!!!

Aisee!! Huyo rafki yako ajali kweli.
 
Kwa hali aliyopo anahitaji maombi na ushauri si kubezwa
 
Huyo Hilda ana vielement vya kutaka kupewa na huko nyuma, that's a good sign kwa jamaa kama nae ni mpenzi wa kuruka ukuta.

Lakini kama unampenda bidada ni lazima utaumia, kuwa umeingia kwa mtu ambaye mapenzi yake na yako, style zake na zako na vionjo vyenu vipo tofauti.
 
Back
Top Bottom