madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
- #201
Mhh sijui kama kabila zao zinaruhus mchezo huuHuyo Hilda ana vielement vya kutaka kupewa na huko nyuma, that's a good sign kwa jamaa kama nae ni mpenzi wa kuruka ukuta.
Lakini kama unampenda bidada ni lazima utaumia, kuwa umeingia kwa mtu ambaye mapenzi yake na yako, style zake na zako na vionjo vyenu vipo tofauti.