Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Connecting dotssss....jamaa huko marekani yuko sekta ya ubunifu...may be wa mavazi and modelling....mnhhhhh.Hakuna mtu anayeweza kumuambia rafiki yake upuuzi kama huu kama ni kweli.
Huyo Jamaa atakuwa ni shoga anataka umle tigo na ukizingatia Katoka Marekani basi sishangai kuhisi hivyo.
Wanaume wengi kutoka ughaibuni hasa Marekani huwa na mambo hayo.
Ungemjaribu Kwa kumuambia embu nione kama kweli amekuweka kidole. Then na wewe umuweke uone kama hata taka umfanye.
Mambo mengine muwe mnajiongeza. Jamaa yako ni shoga aiseee!
Hivi mwanamke anawezaje hata kufikiri kuhusu Jambo hilo Kwa mwanaume halisi.
Anapenda sana. Angekua hapendi yasingefika hapa. Kidole mpaka kizame 0713 sio mchezo. Anakipenda ila sasa anajiuliza kama ndo kashahamia upande wa pili Au vipi. Kwa nnavyoona anaogopa kuhama. Halafu habari za uhakika nilizozipata hivi punde ni kua haya mambo yalimtokea mtoa madaKama hapendi kuzamishiwa kidole si amuache tuuu..... Simple like that
Mkuu mbona kama unamsingizia robart?[emoji23] [emoji23] by the way ulijisikiaje ulivyofanyiwa hivyo?Mara ya kwanza alijua bahati mbaya
Ninyi vijana wa siku hizi mnanishangaza kwelikweli...hivi inakuwaje uingiziwe kidole eneo la kijambio mpaka kinazama!!!! wakati huo fahamu zako zinakuwa wapi?Salaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu
Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo
Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro
Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja
Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile
Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo
Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda
Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani
Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama
Assanteni mjumbe hauwawi
Dah umefika mbali mkuuHakuna mtu anayeweza kumuambia rafiki yake upuuzi kama huu kama ni kweli.
Huyo Jamaa atakuwa ni shoga anataka umle tigo na ukizingatia Katoka Marekani basi sishangai kuhisi hivyo.
Wanaume wengi kutoka ughaibuni hasa Marekani huwa na mambo hayo.
Ungemjaribu Kwa kumuambia embu nione kama kweli amekuweka kidole. Then na wewe umuweke uone kama hata taka umfanye.
Mambo mengine muwe mnajiongeza. Jamaa yako ni shoga aiseee!
Hivi mwanamke anawezaje hata kufikiri kuhusu Jambo hilo Kwa mwanaume halisi.
Mapenzi uziwiPole yake sn. Kwann anashindwa kumuweka wazi? Ataingiziwa hadi mkono mzima. Ni mpuuzi sn hela kitu gani?
Ok wacha nipate ruksa kutoka kwa robbyMleta mada naomba namba ya hilda. ...atakuwa ana shida anahitaji kusaidiwa ili asuwe anamtia madole mchumba wake....tafadhali nigee namba ya mgonjwa hilda niwasaidie kutatua hili tatizo lake la sivyo too ndoa na uchumba vitavunjika muda si mrefu. Haraka mkuu...niwaishie niko pm nakusubiria.
Maoni yako yameheshimiwaMkuu mbona kama unamsingizia robart?[emoji23] [emoji23] by the way ulijisikiaje ulivyofanyiwa hivyo?
Punguza jazba mkuuWala hakuna kitu kama hicho mkuu. Huyo Jamaa hafanywi na mchumba wake wala nini, ila anataka kumpa mleta mada tigo. Au mleta mada anapenda kuliwa au Kula tigo au yote mawili.
Huyo mwanamke kwenye stori hii amewekwa kama kipoteza uhalisia. Kwa watu wenye intelejensia ya maandishi tumemuelewa
Aah mbona kama inakutokea taarifa zingeongelewa polisi yaani mtu afike danger zone unamcheki ngumuAu ni weww nini mkuu ila unamsingizia robert
Ujumbe umemfikia na ameusomakwanza mkono wa dem ukishuka chini ya kiuno akili yote inasimama,,,,, yaani mpaka kidole kinapakua asali katulia tuli.....robert robert......kweli kabisa.......wewe ni punga staff.....tatizo ushamzoesha hahahahahaaaaa........kama kweli hutaki huo mchezo achana nae...... kama unaupenda endelea......kuna siku atakutafutia basha....