madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
-
- #121
Hiyo jaribu jaribu inahitaji mrejeshoWanawake wanaongopeana ukifanya hivyo mwanaume anasimamisha haraka,Ila siku huyu manzi akijaribu Lazima nifanye majaribio yangu kama Best yangu Kiduku!
Ujumbe maridhawa naufikishaPicha halisi tu ni kuwa huyo dada anatabia za Kisagaji hivyo anajaribu kuonyesha hisia zake AU amezoea kufanywa kinyume cha maumbile hivyo anapeleka ujumbe kwa huyo mwanaume...
Jibu ni rahisi sana. Afuate hatua hizi kupata suluhisho...
1/Akae chini amuhoji kuhusu hicho kitu.
2/Amshauri kuacha hiyo tabia.
3/AMUACHE.
Mkuu na ww je ikotokea Cc bahati mbaya kama mtoa mada alivyosema akaingiza vidole kunako itakuaje ??Inasikitisha sana...
Hapa namashaka na huyo rafiki yako robert... Kuna kitu kimejificha hapa...
Marekani si ndiyo kwenye uhuru wa karibia kila kitu... Labda hilda anampima jamaa yake kama anafanyiwa huo mchezo...
Cc: mahondaw
Mi naona kama vile haya mambo yamemkuta mtoa mada.Mkuu na ww je ikotokea Cc bahati mbaya kama mtoa mada alivyosema akaingiza vidole kunako itakuaje ??
Yangenitokea mimi wala isingefika huku yaani kwanza uhuru wa mwanamke kunigusa mwisho kiuno weeeeMi naona kama vile haya mambo yamemkuta mtoa mada.
Mara ya kwanza alijua bahati mbayaJamaa ametiws kidole naye akakubali zaidi ya mara moja? Bila shaka huyo mwanamke atakuwa ameshatimiza dhumuni lake. Kukaa kimya kwa huyo jamaa ni udhaifu wa kijinga sana.
Mkuu sio alikuwa anapimwa tezi dume? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana alikuwa anapimwa temprecha.
Huyu bwana asimamame kama mwanaume. Amkanye mpenz wake kuwa hiyo tabia haipendi. Sasa yeye anaingiziwa kidole alaf anakuja kukulalamikia?DAAH kweli leo umetuamria asee yan dume zima linazamishiwa dole gumba matakoni afu linasema eti MWANZONI NILIJUA KAKOSEA kama sio kunogewa ni nini???
Afu linasema eti KUMWACHA NASHINDWA ushanogewa wewe manake mbn washindwa kumkemea....au ushaharibiwa kwa TRUMP NN?????
Salaam wadau
Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake mpaka sasa,hivi sasa yupo hapa amepata likizo kidogo kama miezi mitatu
Aliporudi aliniambia amepata mchumba anaishi maeneo ya upanga twende tumtembelee,tulifika nikamuona yaa kweli shemeji amependelewa kila kitu mpaka kipato kwao kipo
Baada ya hapo yakaanza maandalizi ya kuvalishana pete za uchumba,na shughuli hiyo ilifanyika moshi kwa kuwa wote ni wenyeji wa kilimanjaro
Baada ya hapo wachumba wakawa huru bwana robert sio jina lake halisi kumfuata hilda,kwa kuwa robert hajachukua usafiri mara nyingi hilda hutumia usafiri wake kuzunguuka pamoja
Lakini ndani ya huu mwezi nimemuona rafiki yangu robert amekuwa mnyonge amepoteza uchangamfu na anajiinamia,jana nimekata shauri kumuuliza tatizo nini mpaka amekuwa na hali ile
Mwanzo alitaka kunificha lakini baadae akaniambia ni kipindi kidogo alitaka kuniambia ili nimpe ushauri kuhusu mchumba wake,amekuwa akipata wakati mgumu wakiwa kwenye faragha,hilda humuingiza kidole kwenye sehemu ya haja kubwa ya bwana robert ,mara ya kwanza alifikiri bahati mbaya lakini imekuwa mchezo
Hivyo basi anaogopa kuwa mazoea wakati akishamuoa lakini na kumuacha anashindwa na pia gharama za uchumba alizotumia,jingine ni aibu kuwekwa hadharani na hilda
Hapa mimi nimemwambia si vibaya tukapata mchango wa mawazo na ushauri kwa wadau wengine hapa jukwaani
Naomba tumsaidie ushauri huyu mwenzetu amekwama
Assanteni mjumbe hauwawi
Acha kuleta USAMBAA wako hapa,na nyie huko milimani Lushoto mbajiona mko Pwani..?Umerogwa wewe Kama Ulishawahi kuishi Pwani Ukachomekwa Kidole Ni wewe Acha Ukuda Unaisimulia Ishakunyeshe Enh!!!!