Chanel zinatafuta, zinafosiwa,Bila chaneli utaishia kujaza mapepa gheto ya kutosha bongo siyo kama mbele
Yes,Hivi Masters holder akija na wazo wa kufanya biashara kama za Bakhressa kwa lengo la kumfikia bakhlesaa atakuwa mjinga??? Akienda shamba akalima ekali za vitunguuu na kuanza kuzisafirisha nje??? Ulitaka aanze kuzalisha masters zake na kuziuza?
Inabidi uwe tofauti, hata mteja akija anajua huyu yuko tofauti.Hakika mkuu,
Ila inashangaza mtu na elimu yako,
umekopa mkopo bank, alafu unaenda fungua juisi ya miwa kama mpemba wa ilala,
mazingira ya kizwasi, yani vuluvulu
Kama zipi MkuuWasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Anaweza kuanza kumpelekea dalali hapo mabibo few years down the line anapeleka nje. Hujui watu wanafikiria nini dont judge.Yes,
bora huyo anayewaza kusafirisha nje,
sio yule anelima na kumpelekea dalali pale mabibo
ndipo mada yangu ilipo
Kikwazo kikubwa ni mitaji, vijana wengi hawana mitaji ya kutosha, pia kuna taaluma ambazo lazima uwe umesajilwa na professional bodies mfano kijana aliyemaliza shahada ya uhasibu haruhusiwi kabisa kufanya kazi kama mshauri wa kodi au kazi za kuandaa hesabu za makampni au watu binafsi kama hajasajiliwa na Bodi ya uhasibu kwa maana lazima awe na chati cha CPA na awea amefanya kazi chini ya ungalizi kwa miaka mitatu, mlolongo huo wote unahitaji pesa na muda ni kikwazo kwa vijana.Mkuu ndo maana ya kupelekwa shule,
umiza ubongo ujue nini cha kufanya
Mimi sioni tatizo akiamua kufanya hata hizo, ila baada ya miaka 5 asiwe kama muuza chips au mlima tikiti wa kawaida.
Sio kila msomi atakua na resource za kumuwezesha kuanzia juu...
msomi na asiyesoma wakiwa wanafanya kitu kimoja nategemea vision na realization zao zitakua tofauti
Mkuu,Kikwazo kikubwa ni mitaji, vijana wengi hawana mitaji ya kutosha, pia kuna taaluma ambazo lazima uwe umesajilwa na professional bodies mfano kijana aliyemaliza shahada ya uhasibu haruhusiwi kabisa kufanya kazi kama mshauri wa kodi au kazi za kuandaa hesabu za makampni au watu binafsi kama hajasajiliwa na Bodi ya uhasibu kwa maana lazima awe na chati cha CPA na awea amefanya kazi chini ya ungalizi kwa miaka mitatu, mlolongo huo wote unahitaji pesa na muda ni kikwazo kwa vijana.
Watu wasomi, gena wa fani za ukulima,Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Anaweza kuanza kumpelekea dalali hapo mabibo few years down the line anapeleka nje. Hujui watu wanafikiria nini dont judge.
Btw wewe ni mfanyabiashara hebu tuambie unafanyaje?
mkuu nchi zipi hizo..Umegusa sehemu ambayo naiwaza kila siku kuiandika humu jamvini,, Swala la wasomi kufanya kazi za kishenzi au ambazo hazina hadhi ya elimu walizonazo... hili linaonyesha dhahiri kuwa walikuwa na mategemezi mengine wakati wakiwa madarasani... Ajira bongo ni ndoto za mchana na cha ushauri ni kujiongeza zaidi kusogea kuomba kazi nchi za jirani kama wenzangu mmebarikiwa kuwa na vyeti vilivyoshiba..
Umenigusa. Nafanya biashara ambayo hata asiesoma anaweza kufanya. Ila jinsi ninavyoifanya mimi na hao wengine ni tofauti kabisa jambo linalofanya nipate wateja wa kudumu kirahisi sana, kwa sababu wateja wengi wa biashara yangu ni wasomi hivyo wanakuwa na amani ku-deal na mtu wanaeongea nae lugha moja.
Ni vigumu sana kufanya jambo jipya ila unaweza kufanya kitu kile kile wanachofanya wengine kwa namna tofauti na bora zaidi,utafanikiwa. Bottom line kinachotakiwa ni kipato kizuri kama biashara ni halali hamna ubaya. Mentality kama hii unayoizungumzia ndio inawagharimu wasomi wengi na kubaki walipo kwasababu wanaona watu kama wewe mtawaonaje.
Huu uzi imenigusa, asante mangi kwa kuuleta.
Creativity ni muhimu sana, hasa kwa dunia ya sasa ambapo ushindani ni mkubwa mno...!!Tunafanya vitu vile vile kwa namna ile ile
Na tunategemea mabadiliko!
Maliza chuo kwanza halafu ndio uje uongee na wanamume.Aisee,
Watu wana ela ila hawajui pakuziweka,
kwa mtu ambae ni mjasiriamali na anapenda kufanya hivyo,
akiwa na idea iliyosimama ela zipo mkuu,
watu wanaandika pepa, wanashindanisha idea, wanazipeleka kwa masponser na ena zinamwagaa.
hao akina Zurckeberg na bill Gates hawakuwa na ela, bali walifanya watu wakaona na wakaeka ela[/colour]