Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Hata kwenye kuajiriwa tunaajiriwa kwa nafasi na vyeo vile vile kwa mshahara ule ule hatuundi vyeo vipya kisa tu sisi ni wasomi. Mfano umeajiriwa TPA ujiundie kicheo chako "malaika wa zamu" Haiwezekani. This is how things work mambo ni yale yale. Sasa iweje tumshangae msomi aliyeopt kufanya biashara ile ile kwa kiwango chake cha mtaji? Labda tuanze kwa kujiuliza lengo la elimu at first place ni lipi?
Hakuna asiyependa kununua kitu kipya kutoka dukani tatizo pesa.
Hivyohivyo hakuna asiyependa kuwa na kitu kama KFC, McDonald's nk tatizo mtaji boss.
ImeipendaWasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Naomba tuanzie kwako wewe unafanya biashara gani ? na ni nini tofauti yake na wenzio ?Mkuu,
Suluhisho nimeweka, Tuwaze kufanya vitu kwa utofauti, yani kama ni biashara ya chips basi fanya kama KFC ambayo unafanya tena kwa utofauti, sio unafungua banda la chips kama la mluguru wa pale buguruni
Naunga mkono hoja, watu wanachanganya biashara na usomi na mbaya zaidi hii elimu yetu haimuandai mtu kuwa mfanyabiasharaHivi mkuu una uhakika wamiliki wa KFC na Mcdonald's walikuwa na mitaji mikubwa wakati wanaanza biashara?
Ni kampuni chache sana maarufu leo duniani zilizoanzishwa na mitaji mikubwa.
Wenzetu wana Uthubutu na Ubunifu.
Sisi watanzania wengi wetu ni WAVIVU, hata wakenya wana nafuu kiasi.
Kufa ndio ukaone mapya, dunia inawatu mabillion then utake kipya yeye malaika.Sioni jipya hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli hiiKweli kabisa mkuu, hii imenigusa sana na cha ajabu zaidi unakuta media zinaandaa vipindi vya vijana wasomi walioamua kujiajili kupika keki na kutengeneza sabuni za maji.
WAsomi professional zao kubwa ni wizi.Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Mkuu mbona tupo ubaazi mmoja wa reli tu nilikuwa namjibu jamaa kuhusu vibandasHivi mkuu una uhakika wamiliki wa KFC na Mcdonald's walikuwa na mitaji mikubwa wakati wanaanza biashara?
Ni kampuni chache sana maarufu leo duniani zilizoanzishwa na mitaji mikubwa.
Wenzetu wana Uthubutu na Ubunifu.
Sisi watanzania wengi wetu ni WAVIVU, hata wakenya wana nafuu kiasi.
Umenigusa. Nafanya biashara ambayo hata asiesoma anaweza kufanya. Ila jinsi ninavyoifanya mimi na hao wengine ni tofauti kabisa jambo linalofanya nipate wateja wa kudumu kirahisi sana, kwa sababu wateja wengi wa biashara yangu ni wasomi hivyo wanakuwa na amani ku-deal na mtu wanaeongea nae lugha moja.
Ni vigumu sana kufanya jambo jipya ila unaweza kufanya kitu kile kile wanachofanya wengine kwa namna tofauti na bora zaidi,utafanikiwa. Bottom line kinachotakiwa ni kipato kizuri kama biashara ni halali hamna ubaya. Mentality kama hii unayoizungumzia ndio inawagharimu wasomi wengi na kubaki walipo kwasababu wanaona watu kama wewe mtawaonaje.
*Why are the degree holders poor?*Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.