Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

Kosa kubwa na la kwanza ni kusoma for some years huku ukiwa na mindset ya kuajiriwa badala ya kujiajiri.

% kubwa sana ya wanafunzi wa Tanzania wanatarget kuja kuajiriwa...hi inatokana na nature ya elimu yetu.
Hata kwenye kuajiriwa tunaajiriwa kwa nafasi na vyeo vile vile kwa mshahara ule ule hatuundi vyeo vipya kisa tu sisi ni wasomi. Mfano umeajiriwa TPA ujiundie kicheo chako "malaika wa zamu" Haiwezekani. This is how things work mambo ni yale yale. Sasa iweje tumshangae msomi aliyeopt kufanya biashara ile ile kwa kiwango chake cha mtaji? Labda tuanze kwa kujiuliza lengo la elimu at first place ni lipi?
 
Hivi mkuu una uhakika wamiliki wa KFC na Mcdonald's walikuwa na mitaji mikubwa wakati wanaanza biashara?

Ni kampuni chache sana maarufu leo duniani zilizoanzishwa na mitaji mikubwa.

Wenzetu wana Uthubutu na Ubunifu.

Sisi watanzania wengi wetu ni WAVIVU, hata wakenya wana nafuu kiasi.
Hakuna asiyependa kununua kitu kipya kutoka dukani tatizo pesa.

Hivyohivyo hakuna asiyependa kuwa na kitu kama KFC, McDonald's nk tatizo mtaji boss.
 
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.

Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???

Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.

Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?

Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.

Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.

Nakaribisha majadiliano,
Imeipenda
 
Mkuu,

Suluhisho nimeweka, Tuwaze kufanya vitu kwa utofauti, yani kama ni biashara ya chips basi fanya kama KFC ambayo unafanya tena kwa utofauti, sio unafungua banda la chips kama la mluguru wa pale buguruni
Naomba tuanzie kwako wewe unafanya biashara gani ? na ni nini tofauti yake na wenzio ?
 
Ingekuwa msomi ukipiga biashara unakuwa bakhresa wengi hata kwenye siasa usingewaona, biashara issue nyingine hapa unagusa uwezo binafsi, familia na hata kizazi, matajiri wengi wamejiendeleza baada ya kufanikiwa. Kuna mwingine anamtaji mzuri tu lakini uwezo binafsi wa kufanya iyo biashara hamna anaishia kula mtaji
 
Hivi mkuu una uhakika wamiliki wa KFC na Mcdonald's walikuwa na mitaji mikubwa wakati wanaanza biashara?

Ni kampuni chache sana maarufu leo duniani zilizoanzishwa na mitaji mikubwa.

Wenzetu wana Uthubutu na Ubunifu.

Sisi watanzania wengi wetu ni WAVIVU, hata wakenya wana nafuu kiasi.
Naunga mkono hoja, watu wanachanganya biashara na usomi na mbaya zaidi hii elimu yetu haimuandai mtu kuwa mfanyabiashara
 
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.

Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???

Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.

Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?

Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.

Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.

Nakaribisha majadiliano,
WAsomi professional zao kubwa ni wizi.
 
Hivi mkuu una uhakika wamiliki wa KFC na Mcdonald's walikuwa na mitaji mikubwa wakati wanaanza biashara?

Ni kampuni chache sana maarufu leo duniani zilizoanzishwa na mitaji mikubwa.

Wenzetu wana Uthubutu na Ubunifu.

Sisi watanzania wengi wetu ni WAVIVU, hata wakenya wana nafuu kiasi.
Mkuu mbona tupo ubaazi mmoja wa reli tu nilikuwa namjibu jamaa kuhusu vibandas
 
Umenigusa. Nafanya biashara ambayo hata asiesoma anaweza kufanya. Ila jinsi ninavyoifanya mimi na hao wengine ni tofauti kabisa jambo linalofanya nipate wateja wa kudumu kirahisi sana, kwa sababu wateja wengi wa biashara yangu ni wasomi hivyo wanakuwa na amani ku-deal na mtu wanaeongea nae lugha moja.

Ni vigumu sana kufanya jambo jipya ila unaweza kufanya kitu kile kile wanachofanya wengine kwa namna tofauti na bora zaidi,utafanikiwa. Bottom line kinachotakiwa ni kipato kizuri kama biashara ni halali hamna ubaya. Mentality kama hii unayoizungumzia ndio inawagharimu wasomi wengi na kubaki walipo kwasababu wanaona watu kama wewe mtawaonaje.
 
Attachments

Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.

Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???

Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.

Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?

Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.

Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.

Nakaribisha majadiliano,
*Why are the degree holders poor?*
Because they have decided to pride themselves in a degree and failed to think better than a man who does not have even a certificate to his name.

If you want to progress, throw away that degree and start thinking better than someone without a degree. Be prepared to get your hands dirty and work like an ox for your business.
A lot of opportunities exist in Tanzania but u have to be keen to identify them.If interested to do international projects contact me.
*Your innovation, commitment, hard work and patience will pay off.*

C&P
 
Kwamba ukifanya hizo biashara, elimu yako inasepa au!!.....cha muhimu dinero znagongana mfukoni......usome usisome bado dinero zitatafutwa tú kwa njia yoyote.ukisoma unapondwa usiposoma ndo majanga kabsaaa!!..jus hell out my face do yo own things pal😎😎
 
Huu uzi kiukweli ni mzuri sana nilicho JIFUNZA KUPITIA UZI HUU NI KUWA BADO NAHITAJI KUJIFUNZA ZAIDI.

Naona watu wengi wanazungumzia mtaji wa KIFEDHA NDIO CHANGAMOTO KUBWA mimi kwa uzoefu wangu mdogo wa kibiashara naoana changamoto sio MTAJI WA KIFEDHA changamoto kubwa iliopo ni KUKUBALI KUJARIBU KUFANYA BIASHARA FLANI kwanini nasema hivyo kwasababu kuna njia nyingi za kuweza kupata MITAJI YA KIFEDHA.

Wasomi wetu wengi sana hawajakosa mtaji wa KIFEDHA ila wamekosa MITAJI ifwatayo

  1. MTAJI WA KUKUBALI KUWA WANAHITAJI KUJIFUNZA ZAIDI KUTOKA KWA WATU TOFAUTI
  2. MTAJI WA KUKUBALI KUJARIBU KUFANYA BIASHARA FLANI
  3. MTAJI WA UBUNIFU WA MWENDELEZO WA BIASHARA FLANI
  4. MTAJI WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA
  5. MTAJI WA PLAN B
  6. MTAJI WA KUKUBALI KUKOSOLEWA
Hizo ndio changamoto kubwa zinazo wafanya WASOMI wetu kukosa kufanya vitu tofauti na watu ambao wamewazidi KIELIMU.

NB:KAMA KUNA MSOMI YOYOTE YUPO HUMU NA ANASEMA CHANGAMOTO KUBWA NI MTAJI WA KIFEDHA BASI ANITAFUTE NIMUONYESHE PESA ZA MITAJI ZILIPO .
 
Duuuuuuuh mada zingine za kichokozi chokozi bila shaka huyu jamaa anabifu na wasomi yawezekana kuna msomi kampiga nockout kwenye biashara aliyokuwa anaifanya sasa jamaa baada kushindwa anaanza kuwalaumu.
 
Back
Top Bottom