Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Watasema unachagua kazi??Wasomi wasipofanya hayo bado wanalaumiwa, wafanye lipi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watasema unachagua kazi??Wasomi wasipofanya hayo bado wanalaumiwa, wafanye lipi sasa
Angalia hao walimu wanaofundisha ujasiriamali wao wana bizness ganì?Alafu watu mnakosea kusema mfumo wetu wa elimu haumfundishi mtu kujiajiri....vyuo vingi vina course za ujasiriamali siku hizi katika fani karibia zote.
Kwani hilo swali lina ugumu gani?Jadili mada iliyopo mezani achana na mleta mada
Nzuri....ila imekaa ki-hayaMaliza chuo kwanza halafu ndio uje uongee na wanamume.
Au kama unaishi nyumbani, nakushauri usihame ukuekue kwanza kiakili.
Sikutishi.
Mkuu kabla hujapata ajira uliyonayo sasa,elimu yako ya chuo uliitumiaje wkt ukiwa kitaa?Lazima tukubaliane na ukweli, hatuzitendei haki elimu zetu.
Hayo maneno mmeyapata wapi ya kuwapangia maprofesa kazi za kufanya,.Wengine kufuga ni hobi sio kwamba wanategenea kamradi hako kawaboreshee maisha kama nyie.Hivi mmesoma kitabu gani kinachobexa wasomi kufanya shughuli za kawaida.Robert kiwasoki(Rich daf poor dad) anapingana kabisa na mawazo yenu.Waso.u huyhibitisha kwa maandiko.Sasa naombeni maandiko yanayothibitisha msomi asiuze mchicha sokoni, asitembeze maji, asilime nk.Kweli kabisa mkuu, hii imenigusa sana na cha ajabu zaidi unakuta media zinaandaa vipindi vya vijana wasomi walioamua kujiajili kupika keki na kutengeneza sabuni za maji.
Hayo maneno mmeyapata wapi ya kuwapangia maprofesa kazi za kufanya,.Wengine kufuga ni hobi sio kwamba wanategenea kamradi hako kawaboreshee maisha kama nyie.Hivi mmesoma kitabu gani kinachobeza wasomi kufanya shughuli za kawaida.Robert kiwasoki(Rich dad poor dad) anapingana kabisa na mawazo yenu.Wasomi huthibitisha kwa maandiko.Sasa naombeni maandiko yanayothibitisha msomi asiuze mchicha sokoni, asitembeze maji, asilime nk.Kweli kabisa mkuu, hii imenigusa sana na cha ajabu zaidi unakuta media zinaandaa vipindi vya vijana wasomi walioamua kujiajili kupika keki na kutengeneza sabuni za maji.
Eti Buguruni daaahMkuu,
Suluhisho nimeweka, Tuwaze kufanya vitu kwa utofauti, yani kama ni biashara ya chips basi fanya kama KFC ambayo unafanya tena kwa utofauti, sio unafungua banda la chips kama la mluguru wa pale buguruni
Think boy! Jitahidi kufikiri beyond limitsKama ipi
AiseeeHuyu naona anaandika ushuzi tu.. post yake haijakaa kiuhalisia kabisaaa maana kwa msomi mtanzania aliesomeshwa kwa mkopo wa serikali na alietokea familia duni huo mtaji wa kufungua banda Kama la KFC atautoa wapi.. ustake watu wakumalizie hasira za ugumu wa Maisha inye wew..
Upo sawa Mkuu Tangantika, lakini kwa nchi zetu hizi za kiafrika tena zenye wasomi wachache na wenye elimu za kuungaunga alafu wasomi hao hao wasizitumie taaluma zao vyema walizozipata kwa misaada ya serikali, Kodi za wananchi na pesa za wazazi maskini waliouza kila kitu ili wasome, Kisha wanashindwa kukiishi walichokipotezea fedha na muda na kufanya biashara ndogo ndogo zisizolingana hata na elimu yao!! Hii haipo sawa kabisa,maana wakiendelea hivyo nchi yetu itajengwa na wageni kwa kila kitu. Issue ni kwamba waamke waziishi ndoto zao ipasavyo na sio Engineer kujiajiri kufuga samaki Kisha media zinasifia kuwa hachagui kazi, na kumwita mbunifu.Hayo maneno mmeyapata wapi ya kuwapangia maprofesa kazi za kufanya,.Wengine kufuga ni hobi sio kwamba wanategenea kamradi hako kawaboreshee maisha kama nyie.Hivi mmesoma kitabu gani kinachobeza wasomi kufanya shughuli za kawaida.Robert kiwasoki(Rich dad poor dad) anapingana kabisa na mawazo yenu.Wasomi huthibitisha kwa maandiko.Sasa naombeni maandiko yanayothibitisha msomi asiuze mchicha sokoni, asitembeze maji, asilime nk.
Beza ni beza tu mura hata kwa kuuza madikiti mura....acha hizo Meku, kwanza unaitwa Moshi ukatambike aka kuhesabiwa.Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
hahahhhahahahaBeza ni beza tu mura hata kwa kuuza madikiti mura....acha hizo Meku, kwanza unaitwa Moshi ukatambike.