Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Tanganyika imefifia na itazidi kufifia.

Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika

Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani.

Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari achukue nchi kwa awamu nyingine.

Haitatokea kamwe kwa mtanganyika kuwa rais wa Zanzibar ila kwetu imetokea mara ya pili sasa , na makamo wa rais kuanzia Bilali,Shein ,SSH wanatokea kule ila kwao haitawezekana.
 
ccmtanzania_a8fc16b06e0749368b2ae256a79c8f14.jpg
 
Huyo aliyesema aongezewe muda ni nani nimjue!!
Hao ndo wa kuwafanya mandondocha msimu wa kilimo umekaribia.
 
Kama unaoutaalam wa kufanya mtu ndondocha kwa nini msimfanyie hata bitozo mwenyewe akili zifyatuke asijielewe.
 
Kelo
Tanganyika imefifia na itazidi kufifia.

Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika

Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani.

Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari achukue nchi kwa awamu nyingine.

Haitatokea kamwe kwa mtanganyika kuwa rais wa Zanzibar ila kwetu imetokea mara ya pili sasa , na makamo wa rais kuanzia Bilali,Shein ,SSH wanatokea kule ila kwao haitawezekana

Tanganyika imefifia na itazidi kufifia.

Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika

Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani.

Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari achukue nchi kwa awamu nyingine.

Haitatokea kamwe kwa mtanganyika kuwa rais wa Zanzibar ila kwetu imetokea mara ya pili sasa , na makamo wa rais kuanzia Bilali,Shein ,SSH wanatokea kule ila kwao haitawezekana.
Kweli mdau, ni kweli kabisa kabisa...
 
Wengi wao ni hao CHAWA wake walio mzunguka. Mimi niko kijijini huku. Hakuna mwanakijiji anamkubali huyo Mazeri! Huku kwetu Lissu ndiyo habari ya mjini. Huyu ndiyo wanamtambua kama Rais wa Tanganyika.
 
ACHENI CHUKI DHIDI YA UISLAM,WHAT IF SAMIA ANGEKUA MKATOLIKI?
1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi huko🤣🤣,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesema😃😫😁,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANI🤣🤣
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa

wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao
 
Hakuna udini
Samuya aliuwa Watanganyika wote bila kujali dini zao
Samuya anateka watu wa dini zote
Ali Kibao ni muislam ila Samuya alimuua kikatili
Ufisadi wa serikali ya Samuya inaumiza watu wa dini zote, wote wanakosa madawa, madawati, hakuna madaraka, barabara n. K
Mafuta yamepanda 26% na hamna cha kuwafanya, boda waislam wapo wengi, bidhaa zimepanda na waislam wanaathirika
Sisi tunapinga uovu wake na sio dini yake
 
ACHENI CHUKI DHIDI YA UISLAM,WHAT IF SAMIA ANGEKUA MKATOLIKI?
1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi huko🤣🤣,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesema😃😫😁,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANI🤣🤣
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa

wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao

Yaani wewe ndio fala kabisa
 
Back
Top Bottom