Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Tanganyika imefifia na itazidi kufifia.
Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika
Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani.
Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari achukue nchi kwa awamu nyingine.
Haitatokea kamwe kwa mtanganyika kuwa rais wa Zanzibar ila kwetu imetokea mara ya pili sasa , na makamo wa rais kuanzia Bilali,Shein ,SSH wanatokea kule ila kwao haitawezekana.