Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yanga kesho watapangiwa timu ya kuanza nayo preliminary round, wakati wanaume zao Simba watasubiri second round.
Kudadadeki
Kudadadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Hiyo 2nd round Simba wanasubiria kwenye michuano gani mkuu? Nasubiri jibu hapa.
AaahaaaaHiyo 2nd round Simba wanasubiria kwenye michuano gani mkuu? Nasubiri jibu hapa.
Yanga kesho watapangiwa timu ya kuanza nayo preliminary round, wakati wanaume zao Simba watasubiri second round.
Kudadadeki
Simba kwa michuano yoyote ya vilabu ingeanzia raundi ya pili. Nafasi ya tano Afrika sio ya kitotoHiyo 2nd round Simba wanasubiria kwenye michuano gani mkuu? Nasubiri jibu hapa.
Nafasi ya tano kwenye nini wewe kolo?Simba kwa michuano yoyote ya vilabu ingeanzia raundi ya pili. Nafasi ya tano Afrika sio ya kitoto
Ona hili kolo halijui hata timu yake iko nafasi ya ngapi.Simba kwa michuano yoyote ya vilabu ingeanzia raundi ya pili. Nafasi ya tano Afrika sio ya kitoto
Kwenye Champions League ni timu tano tu za juu zinazopata exemption kati ya timu 59, wakati Confederation Cup ni timu 12 za juu zinazopata hiyo exemption kati ya timu 52 tu. Confederation ni mashindano dhaifu kulinganisha na ChampionsYanga kesho watapangiwa timu ya kuanza nayo preliminary round, wakati wanaume zao Simba watasubiri second round.
Kudadadeki
Ulivyolipuka 😁😁😁Ona hili kolo halijui hata timu yake iko nafasi ya ngapi.
Mbona mmeingia kiwewe 🤣 🤣 🤣Nafasi ya tano kwenye nini wewe kolo?
Umeona wapi Simba ikiwa nafasi ya tano? Simba ipo nafasi ya saba.Simba kwa michuano yoyote ya vilabu ingeanzia raundi ya pili. Nafasi ya tano Afrika sio ya kitoto
Acha ubishi Yanga anapoint chache na hayuko nafasi ya 5 kwenye rank ya CAF.Nyie huwa mnadanganywa na vile vimitandao vya hovyo hovyo mkajiona wakubwa Afrika.Umeona wapi Simba ikiwa nafasi ya tano? Simba ipo nafasi ya saba.
Na lingine ni kwamba kuanzia raundi ya pili huwa inatokana na idadi ya timu zinazoshiriki michuano ya CAF. Kuna kipindi Simba ilikuwa inashika nafasi ya 10 na ilianzia raundi ya pili.
Mashindano ya CAF zinatakiwa kuwe na jumla ya timu 64 endapo ikitokea hazifiki timu 64 ndipo idadi ya iliyopelea ndio huingia raundi ya pili. Msimu huu kuna timu 59 zinazoshiriki klabu bingwa hivyo kuna gap ya timu 5 kufikisha timu 64 na ndio maana timu 5 zitaanzia hatua ya pili na hizo timu 5 zinachukuliwa zile timu 5 za juu.
Ukija kwenye kombe la shirikisho, kuna jumla ya timu 52 zinazoshiriki michuano ya shirikisho hivyo kuna pungufu ya timu 12 kutimiza timu 64 na ndio maana kuna timu 12 zitaanzia hatua ya pili kombe la shirikisho.
Wapi ambapo nimeandika kuwa Yanga ni wa tano? Kuna sehemu nimeongelea kuhusu point za Yanga? Au unakurupuka tu ku comment bila kuelewa?Acha ubishi Yanga anapoint chache na hayuko nafasi ya 5 kwenye rank ya CAF.Nyie huwa mnadanganywa na vile vimitandao vya hovyo hovyo mkajiona wakubwa Afrika.
Losers cup. Finished.Yanga kesho watapangiwa timu ya kuanza nayo preliminary round, wakati wanaume zao Simba watasubiri second round.
Kudadadeki
Kwenye CCL😅😅😅
Akikujibu ni tag
Hizo hesabu zilishapigwa, na Simba kwa msimu huu 2024/25 inaanzia raundi ya piliNa lingine ni kwamba kuanzia raundi ya pili huwa inatokana na idadi ya timu zinazoshiriki michuano ya CAF. Kuna kipindi Simba ilikuwa inashika nafasi ya 10 na ilianzia raundi ya pili.