Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Tp Mazembe ipo nafasi ya 08 nyuma ya simba nafasi ya 07 na amenufaika kuanzia hatua hiyo ya pili kutokana na kutokuwepo kwa Wydad Casablanca(03) Zamalek (05) na Simba (07)
Simba ipo nafasi ya ngapi?
 
Utopolo wana force ukubwa..bado sanaa wajifunze kwa baba zao Simba.. 😊 at least 3 quarter finals...
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Sisi tulitaka tuanze pre-preliminary round, tuanze na Simba, tumtie 7-0 alafu ndiyo tuendelee
Haisaidii! Kawafunge kwanza wale wengine na uingine Quarter final mara kadhaa ndo hapo mtaeleweka, kumfunga Simba au Yanga hakusaidii kitu!
 
Kama bado mna mautopolo ya kujumlisha magoli eti 7...ni bora tuu muanzie hatua ya mtoano maana hamna akili...
 
Haisaidii! Kawafunge kwanza wale wengine na uingine Quarter final mara kadhaa ndo hapo mtaeleweka, kumfunga Simba au Yanga hakusaidii kitu!
Sisi furaha yetu kuona mnyama anateseka, tumewasilisha barua CAF itushushe shirikisho ili tukutane
 
Simba sio wa tano ni wa saba hivyo kwenye klabu bingwa asingweza kuwa na nafasi ya kuanzia raundi ya pili mpaka itokee wa juu yake washindwe ku qualify kucheza mashindano ya klabu bingwa ( top 5) ambao ni Al Ahly, Es Tunis, Wydad, Mamelod na Tp Mazembe hizo ndizo top 5.
mazembe yupo chini ya simba
 
Sisi furaha yetu kuona mnyama anateseka, tumewasilisha barua CAF itushushe shirikisho ili tukutane
Haisaidii vilevile, kila timu ina njia yake hata siku moja hakufanani, timu zote zina falsafa tofauti, we tafuta furaha yako basi
 
Back
Top Bottom