Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

mazembe yupo chini ya simba
Mazembe kachukua nafasi kwavile kuna timu zimeshindwa kufuzu klabu bingwa ambazo zipo top 5 ambao ni Wydad na Zamalek na nafasi zao zikachukuliwa na Tp Mazembe na Petro de Luanda
 
Timu zote ndogo zinaanza mapema bila kujalisha ziko shirikisho au champions, na timu zote kubwa hazianzi mapema bila kujalisha ziko shirikisho au champions.
 
Simba ingeanzia round ya awali ingekuwa faida kwa timu ili timu ianze kujenga maelewano mazuri
 
Mazoezi ni tofauti na mechi za kiushindani
Usikute wewe ni mchambuzi wa mpira hapa Tanzania. Hivi unaelewa unachokiandika kweli, Unataka kunidanganya Simba au Yanga wanapoenda kucheza mechi zao za kimataifa hawafanyi mazoezi, nikuulize tu swali la uzushi: Wewe unaujuwa mpira kweli au ulishawahi kucheza hata cha ndimu tu barazani?
 
Unalitendea haki jina lako
 
Champion ligi Yanga kafika robo uliyokuwa unajifichia.
Sasa na wewe ufike final huko uliko mtani.
We si mkubwa.

Pambana Sasa uwanjani na sio social media
Point zinatafutwa mdogo mdogo maana kila timu inataka kuwa pale juu. Simba kuwa ya 6 haikupata mara moja. Washabiki wake wanaelewa ndio maana hata ikiishia robo ni furaha Tu. Africa inajua Simba ni giant kama Wana UTO hawalitambui hili sio shida zetu.
 
Ila huoni aibu wala fedheha simba kushindwa ku qualify hata kuwepo kwenye hayo mashindano ambayo Yanga anaanzia hatua za awali?

Yaani kwako wewe kuanzia hatua ya awali ni fedheha kuliko kutokuwepo kabisa kwenye ratiba?

Makolo Mungu awarehemu tu
 
Kunzia hutua ya awali naona itakuwa advantage kwa Young Africans, maana tutajipigia tukija kufika huko juu watu wamepata kichapo cha kutisha
 
Back
Top Bottom