ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hata club bingwa kwa point zetu huwa hatuanzi preliminary stage
Mbumbumbu vichwa vyao hua ni battery lowHivi mlipocheza na Nyasa big bullet msimu wa 2022/2023 ile sio preliminary stage? Au mnajisaulisha
Sasa Kama Hujui timu yako iko wapi nan akusaidie.Kwenye mashindano gani sema kwa sauti bila kulia
Kombe lile la looosers😂Hiyo 2nd round Simba wanasubiria kwenye michuano gani mkuu? Nasubiri jibu hapa.
Kombe lile la losersHiyo 2nd round Simba wanasubiria kwenye michuano gani mkuu? Nasubiri jibu hapa.
Hata huko Klabu Bingwa Simba ina misimu kadhaa haianzii preliminary round kama nyie underdog.Hiyo 2nd round Simba wanasubiria kwenye michuano gani mkuu? Nasubiri jibu hapa.
Haya mashindano si ndiyo yaliyowafanya mkavaa medali za CAF hadi mkajipeleka lkulu kwa mama?Kwenye Champions League ni timu tano tu za juu zinazopata exemption kati ya timu 59, wakati Confederation Cup ni timu 12 za juu zinazopata hiyo exemption kati ya timu 52 tu. Confederation ni mashindano dhaifu kulinganisha na Champions
Yanga iliingia kwenye mashindano hayo ikitokea kwenye Championship League wakati huo. CAF ilikuwa inajaribu kuyaongezea uzito kwa kujumuisha team za championship zinazotolewa kwenye round ya pili. Timu hizo ndizo zilizowasha moto kwenye mashindano hayo na kuyafanya yavutie. Mwaka jana timu zote zilizofika nusu fainali ya Confederation ni zile zilizohamishwa kutoka Chamoionship. Sasa hivi hilo halipo tena, ndiyo maana mashindabno hayo yamezidi kuwa dhaifu.Haya mashindano si ndiyo yaliyowafanya mkavaa medali za CAF hadi mkajipeleka lkulu kwa mama?
Mechi ya Simba vs Nyasa big bullets si ya ni juzi tu hapa na mlianza preliminary stageHata huko Klabu Bingwa Simba ina misimu kadhaa haianzii preliminary round kama nyie underdog.
Na ukumbuke,point hazichezi uwanjani.Point zinatafutwa mdogo mdogo maana kila timu inataka kuwa pale juu. Simba kuwa ya 6 haikupata mara moja. Washabiki wake wanaelewa ndio maana hata ikiishia robo ni furaha Tu. Africa inajua Simba ni giant kama Wana UTO hawalitambui hili sio shida zetu.
Asante kwa taarifa ya kushiriki kombe la shirikisho (Maana Ya Mmeshirikishwa)Likifutwa ni sawa tuu..ss tuna letu la AFL
Uko shirikisho tunawataka mfike fainaliHaisaidii! Kawafunge kwanza wale wengine na uingine Quarter final mara kadhaa ndo hapo mtaeleweka, kumfunga Simba au Yanga hakusaidii kitu!