Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Kwenye Champions League ni timu tano tu za juu zinazopata exemption kati ya timu 59, wakati Confederation Cup ni timu 12 za juu zinazopata hiyo exemption kati ya timu 52 tu. Confederation ni mashindano dhaifu kulinganisha na Champions
Haya mashindano si ndiyo yaliyowafanya mkavaa medali za CAF hadi mkajipeleka lkulu kwa mama?
 
Haya mashindano si ndiyo yaliyowafanya mkavaa medali za CAF hadi mkajipeleka lkulu kwa mama?
Yanga iliingia kwenye mashindano hayo ikitokea kwenye Championship League wakati huo. CAF ilikuwa inajaribu kuyaongezea uzito kwa kujumuisha team za championship zinazotolewa kwenye round ya pili. Timu hizo ndizo zilizowasha moto kwenye mashindano hayo na kuyafanya yavutie. Mwaka jana timu zote zilizofika nusu fainali ya Confederation ni zile zilizohamishwa kutoka Chamoionship. Sasa hivi hilo halipo tena, ndiyo maana mashindabno hayo yamezidi kuwa dhaifu.
 
Point zinatafutwa mdogo mdogo maana kila timu inataka kuwa pale juu. Simba kuwa ya 6 haikupata mara moja. Washabiki wake wanaelewa ndio maana hata ikiishia robo ni furaha Tu. Africa inajua Simba ni giant kama Wana UTO hawalitambui hili sio shida zetu.
Na ukumbuke,point hazichezi uwanjani.
 
Back
Top Bottom