Pre GE2025 Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Tundu Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtaweweseka sana mwaka huu
 
Conclusion yako ni sawa lakini analysis siyo sawa. Aibu na a fedheha ni matukio ysnayowaenda watu fulani. Mwizi akiiba ni jambo la kawaida, anaoewa tu adhabu anayostahili. Kichaa akijinyea hadharani nalo si jambo la mno, huwezi kulalamika. Tundu Lissu hanaxstaha yoyote, haba soni, vitendo vyake havitustui kwa vile vilitegenewa. Matusi, kuropoka, urongo, uzandiki, kwake ni sifa. Ila naona kaanza kupata mfissinhomeboy huo ndiyo timshangae. Huyu Padri Charles Kitima umejaribu kumfuatilia? Huyu ndiyo fedheha, huyu ndiyo aibu, kwa sababu anayafanya nyuma ya pazia ya kitu chenye ihshima.
 
Shida ni upeo mdogo ulionao,umeandika gazeti hata hueleweki sijui kama huwa una ubongo wa binadamu
Mbona kaandika Kiswahili fasaha kabisa ,.
Kama hujaelewa alichoandika bhc we ndio taira kabisaaa
 
Hata kama tunaichukia ccm lakin Tanzania bado hatujaichoka
Siasa za chadema ni za kizamani na za kipuuzi
Nilikua chadema kipindi cha magu ila kipindi hiki naona wamepotea hawana muelekeo hawana sera
 
Aibu kivipi? Unajua kweli maana ya aibu? Wewe mwenyewe tupe ushahidi kama umejiandikisha au unabwabwaja tu.
 
Kwa data za kupika? Ccm ilifanikiwa kukubalika enzi watu wamelala, kwa sasa mtaiba kura, mtateka na kuua sana, lakini hiki sio kizazi cha hicho chama.
Kwa sasa CCM inakubalika sana kuliko wakati mwingine wowote ule katika Historia ya Taifa letu
 
Hivi hakuna jema hata moja linalofanywa na Chadema. Maisha yako yote humu jukwaani ni kuwacondem tu.
 
Wewe na ukoo wako wote wa Mwashambwa mkiunganisha uwezo wa akili zenu haufiki hata 5% ya uwezo wa akili za Lissu, kilaza na kidampa kama wewe unaishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiyo ujilinganishe na Lissu?
Lissu ana akili? Kweli unaendelea kudhihirisha kuwa wewe huna akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…