Pre GE2025 Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Tundu Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi hakuna jema hata moja linalofanywa na Chadema. Maisha yako yote humu jukwaani ni kuwacondem tu.
Mimi huwa naongea ukweli kuwahusu.ikumbukwe ya kuwa CHADEMA ni kusanyiko au genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tu
 
Pale mkawa mnampiga masasi 16 yaliyomkosa 20+ halafu huko kuzimu angejiandikisha na angepigaje kura sasa? Mama yenu Sambaza Shida Hangaisha mwenyewe chura kiziwi ana fomu moja mwakani hata wewe ukijiandikisha ili iweje? Angalia vituoni palivyopikiwa orodha mpaka mkaandika wanafunzi wa darasa la 12,elewa haki ya kupiga kura ni haki ya kutopiga kura,huo ndio Uhuru wa kumtoa mkoloni mweupe ingawa huyu mkoloni mweusi CCM analazimisha uroho wa madaraka.We HUOGOPI kuwa Soka na wenzake hakujiandikisha kwani ametekwa? Siyo uchaguzi ni UBAYA UBWELA na Lissu hatanyamazishwa na chawa wapuuzi,hapa DAIMA MBELE NYUMA MWIKO. Kwa chawa kitabia huishi ndani ya uchafu,kauli za kipuuzi za Makala zingetamkwa kumaliza utekaji ambao ndicho kiini cha kuvuruga nchi.Bora umetumia kujiandikisha ili utimize kazi ya kichawa kumshambulia Lissu na umeonesha anavyowatieni hofu yule Simba machachali kama mlivyomuita.
 
Maelezo mengi,hakuna hata la Maana,kwa Tundu Lissu ndio umeona mapungufu, Makonda Safi, Mama ssh Safi,CCM Safi!Njaa mbaya sana!
 
Hivi,ulalamikaji wako unaegemea kwenye kutokujiandikisha upiga-kura wa Lissu tu au ulikuwa unatafuta kianzio cha kumtukana?Asipojiandikisha au akijiandikisha,wewe unaathirika nini kwa uchanya au u-hasi?
Wapi nilipomtukana? Au ukweli ndio unaita matusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…