Pre GE2025 Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Tundu Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni money monger, tangu atoke ubeleji yeye anaimba hela za matibabu, sijui za nini. Sasa kaona gepu la kuwapiga hela tigo, kakimbia kasahau hata wananchi na chama chake, kaenda kufukuzia mchongo.

Angekuwa kweli ana uchungu na nchi, hiyo kesi angeifungua hata bands ya uchaguzi. Hata yale makampuni yanayifungua kesi mahakama za kimataifa, Lissu ndio mshauri wao, na huwa anakula pasenti. Ni mtandao wa kimataifa wa utapeli
 
Umerara,umeamka!
 
kwanza kabisa mama anatosha 2025 pili CHADEMA ni kikundi tu kidogo cha wahuni ambao tena hawajitambui anayofanya kilongozi ao lissu kwao ni kawaida halafu anatoka hadgharani juzi kutetea ujinga wake kwa nguvu kabisa shame upon them
 
Chadema inapoteza ushawishi kwa kasi saa kwenye jamii kutokana na sababu mbalimbali nyingi zinachangiwa na viongozi kutokusoma alama za nyakati.
 
Lissu ni mroho na mwenye tamaa sana ya pesa.
 
Aibu na fedheha ktk kutojiandikisha ni ipi hapo?! Au unabwabwaja tu.
Unaelewa maana na umuhimu wa uchaguzi kwa chama cha siasa? Ni vipi chama kitapata ushindi katika uchaguzi bila kupigiwa kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…