Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
Nao waliwahi kuwa 1st lady?Hakuna aibu wala fedheha,Kuna wabunge tangu 1995 wameanza kugombea,itakua yeye.
Tanzania is becoming a family stateInamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
Wapo ila hawataki.Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
Kabisa aisee, na hapo bado kijana wao ni mbunge.Mama si alitakiwa awe karibu na mumewe kumpikia jamani?
Maposho yote anayolipwa lakini bado! hizi tamaa hapana!
Imeshakuwa.Tisipokuwa makini Tz itakuwa nchi ya kifamilia nawaambia!
Ikizingatiwa kuna lile fao la wenza wa wastaafuMama si alitakiwa awe karibu na mumewe kumpikia jamani?
Maposho yote anayolipwa lakini bado! hizi tamaa hapana!
Huyo mume wa kumpikia yukwapi kila siku kigulu na njia?Mama si alitakiwa awe karibu na mumewe kumpikia jamani?
Maposho yote anayolipwa lakini bado! hizi tamaa hapana!
Dalili za mwanamke mwenye tamaa mbaya.Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?