Yaonekana CCM ndo tatizo la nchi hii. M/kiti wao alisema hataki rushwa katika uchaguzi. M/kiti huyo anasisitiza atawakata wagombea wote wala rushwa. Akazidi kusema rushwa ni mdudu mbaya sana! Baadaye ameruhusu wagombea kujitambulisha majimboni.
Huku majimboni imekuwa ni kugawa pesa. Kila anayepita, wajumbe hawahitaji kufahamu ni nani huyo, wanasubiri mgao mwisho wa utambulisho. Kwa mtindo huu CCM hamtaondokana na rushwa. Kama wenye kuwatafutia mgombea ndo hawa wanaosubiri elfu 3 na 5, lini tutapata wagombea wa maana? Tusubiri wale wa CHADEMA, lakini nao waachane na kudai ngono. ACT hatujajua wanakwenda wapi pia maana Zitto ni kama hazimtoshi. Kila wakati ni kama anatafuta mwanamke.