CCM hawajawai kuwa siriaz na masuala ya rushwa.kwa umbeya wewe mleta mada una Phd ya umbeya
[emoji3]Yaonekana CCM ndo tatizo la nchi hii. M/kiti wao alisema hataki rushwa katika uchaguzi. M/kiti huyo anasisitiza atawakata wagombea wote wala rushwa. Akazidi kusema rushwa ni mdudu mbaya sana! Baadaye ameruhusu wagombea kujitambulisha majimboni.
Huku majimboni imekuwa ni kugawa pesa. Kila anayepita, wajumbe hawahitaji kufahamu ni nani huyo, wanasubiri mgao mwisho wa utambulisho. Kwa mtindo huu CCM hamtaondokana na rushwa. Kama wenye kuwatafutia mgombea ndo hawa wanaosubiri elfu 3 na 5, lini tutapata wagombea wa maana? Tusubiri wale wa CHADEMA, lakini nao waachane na kudai ngono. ACT hatujajua wanakwenda wapi pia maana Zitto ni kama hazimtoshi. Kila wakati ni kama anatafuta mwanamke.
Kamulize MrambaCCM hawajawai kuwa siriaz na masuala ya rushwa.
Yaonekana CCM ndo tatizo la nchi hii. M/kiti wao alisema hataki rushwa katika uchaguzi. M/kiti huyo anasisitiza atawakata wagombea wote wala rushwa. Akazidi kusema rushwa ni mdudu mbaya sana! Baadaye ameruhusu wagombea kujitambulisha majimboni.
Huku majimboni imekuwa ni kugawa pesa. Kila anayepita, wajumbe hawahitaji kufahamu ni nani huyo, wanasubiri mgao mwisho wa utambulisho. Kwa mtindo huu CCM hamtaondokana na rushwa. Kama wenye kuwatafutia mgombea ndo hawa wanaosubiri elfu 3 na 5, lini tutapata wagombea wa maana? Tusubiri wale wa CHADEMA, lakini nao waachane na kudai ngono. ACT hatujajua wanakwenda wapi pia maana Zitto ni kama hazimtoshi. Kila wakati ni kama anatafuta mwanamke.
Umejuaje kuwa ni umbea? Unaweza kuthibitisha umbea wake?kwa umbeya wewe mleta mada una Phd ya umbeya
Acha kushabikia propaganda za kitoto we dogo.Ccm hawapambani na rushwa, bali wanapambana na kutangaza habari za rushwa, ili kuhadaa umma kwamba rushwa imeisha. Mtu anayepambana na rushwa hawezi kuwa adui wa uhuru wa vyombo vya habari. Sasa hivi ccm kuanzia mwenyekiti wao wanahubiri kuwa wamedhibiti rushwa, na wanachama wake wanawahadaa watu hivyo tena kwa shuruti, ili kusaka political millage lakini ukweli ni kinyume chake.
Kipindi hiki cha uchaguzi ndio kimeweka ukweli hadharani, ambao ni tofauti na hadaa ya shuruti wanayolishwa wananchi na genge liitwalo ccm.
Acha kushabikia propaganda za kitoto we dogo.
Acha kushabikia propaganda za kitoto we dogo.
Moto!?Mimi natema ukweli mzima mzima. Hapa utaishia kutapika hirizi ukifuata huu moto.
Nguzo kuu ya ccm ni rushwa na uchawi , lusinde kadakwa na rushwa , sasa mkimtoa ni nani atatumika kutukana Chadema bungeni ?kwa umbeya wewe mleta mada una Phd ya umbeya
Wewe kapuku hujui kitu , Masikini mkubwa wee ! kati yako na Polepole aliyekiri rushwa tumuamini nani ?Acha kushabikia propaganda za kitoto we dogo.
Ccm bila rushwa + mabavu hawashindi popote labda huko SigimbiYaonekana CCM ndo tatizo la nchi hii. M/kiti wao alisema hataki rushwa katika uchaguzi. M/kiti huyo anasisitiza atawakata wagombea wote wala rushwa. Akazidi kusema rushwa ni mdudu mbaya sana! Baadaye ameruhusu wagombea kujitambulisha majimboni.