Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Propaganda za kuweka picha za Dk Shika na Nabii Tito ni upuuzi na utoto. Ukikua utajitambua.Wewe kapuku hujui kitu , Masikini mkubwa wee ! kati yako na Polepole aliyekiri rushwa tumuamini nani ?
Wewe kapuku hujui kitu , Masikini mkubwa wee ! kati yako na Polepole aliyekiri rushwa tumuamini nani ?
Shika na Tito wametumiwa sana na ccm , labda uwakatae leoPropaganda za kuweka picha za Dk Shika na Nabii Tito ni upuuzi na utoto. Ukikua utajitambua.
Mwaka huu mtaandika upuuzi mwingi ila mmeshapata kipigo.Shika na Tito wametumiwa sana na ccm , labda uwakatae leo
Kipigo cha wagombea wenu akina Mchungaji Mashimo ?Mwaka huu mtaandika upuuzi mwingi ila mmeshapata kipigo.
Jidanganyeni na imebaki miezi miwili tu.Kipigo cha wagombea wenu akina Mchungaji Mashimo ?
Ccm bila rushwa + mabavu hawashindi popote labda huko Sigimbi
Nguzo kuu ya ccm ni rushwa na uchawi , lusinde kadakwa na rushwa , sasa mkimtoa ni nani atatumika kutukana Chadema bungeni ?
ccm na rushwa ni ndungu moya...huwezi kuwa kiongozi ndani ya ccm bila kutoa rushwa... magufuri amefika hapo kwa rushwa tu... hawezi kuzuia rushwa maana anajua ccm hakuna vyeo bila rushwa...ccm oyeeeeeeeeeeee??? Rushwa safiiiii.??
Unasikia huyo msemaji wa ccm anasema, ccm kuna watoa rushwa na wanawafahamu hivyo hawatateua! Badala ya kuwapeleka mahakamani anasema atawanyima nafasi! Wako wapi wale wanaccm waliokuwa wanampaka Magufuli mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa kaidhibiti rushwa?
CCM walijipanga vizuri mwanzoni na wakavutia wengi wenye uwezo lakini hawataki mambo ya rushwa. Tatizo wamejichanganya tena kuanza kuruhusu wazungukaji kabla ya wakati. Ndo unaona ni kukimbizana na watoa rushwa na PCCB.
mawazo yako yanafikirisha kwa kweli, je ni kweli watia nia wana nia?Sijui ni kwa kiasi gani hawa wanaojiita watia niya, kweli wana niya. Au ni hali ya adui akikuzidi nguvu, unalazimisha urafiki ili upone? CCM lazima wachuje kwa makini. Kuna wapuuzi wengi sana wanaona ni fahari kudanganya wananchi.
Tumechoka kuwa na mzigo wa wabunge wasio na uwezo kiakili. Hawana msaada wowote kwa wananchi. Wengine wanafariki baada ya kuwa Bungeni miaka 20 bila hata kuweka kibanda nyumbani kwao, hao ndo wasaidie wananchi kweli?
Kwa mazoea ya miaka mingi, wananchi hawategemei kusaidiwa na wabunge. Wanachokifanya ni kuchukua pesa za wagombea na kumalizana hapo hapo!Mwenyekiti alishasema kwa wale waliotoka upinzani majimbo yao yasiguswe na CCM asili... Mpaka hapo elewa kwamba yapo Majimbo ambayo Wagombea weshapangwa kabla hata ya kura za maoni...
Usishangae kusikia wanaokamatwa na rushwa Ni sio chaguo la M/kiti...
Pia Ni kwa Nini mtia Nia ategemee rushwa na sio hoja, sera, mipango na mikakati ya maendeleo ambayo itaongeza kipato na kupunguza umasikini kwa jamii.... Na sio kutumia umasikini wao kwa kuwapa rushwa.