Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Simba na Yanga ni ipi yenye Wacongoman wengi?Je Ngoma ni garasa? Vipi Ngoma sio Mkongo? Mbona hajaitwa timu ya taifa?
Kwa sasa Yanga wapo Moloko, Lomalisa na Max. Makolo wana Baleke, Inonga na Ngoma. Sijui mantiki yako hasa ni nini ila hapo kabla alikuwepo Mayele na alikuwa anaitwa. Sina hakika kama unafikiri sawasawaSimba na Yanga ni ipi yenye Wacongoman wengi?
Imeulizwa jezi ya Yanga ndugu, mbona umeirukia Simba?Je Ngoma ni garasa? Vipi Ngoma sio Mkongo? Mbona hajaitwa timu ya taifa?
Na yanga ndo inaongoza kwa kuokoteza wakongoLicha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
View attachment 2868572
Magalasa hayo hayo ndio yalikupiga 5-1 beki akiwa huyo huyo Enonga.Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
View attachment 2868572
Mwasibu umemaliza kukotoa, umehamia kwenye jezi.Imeulizwa jezi ya Yanga ndugu, mbona umeirukia Simba?
Point yake ilikuwa ni wakongo wa Yanga ni magarasa kisa hawajaitwa timu ya taifa ya Congo, au umeishia tu kusoma kichwa cha habari? Namkumbusha tu Baleke, Inonga na Ngoma wote hao ni wa Congo na hawajaitwa sasa ishu ya magarasa mtajua nyie na umbumbu wenu.Imeulizwa jezi ya Yanga ndugu, mbona umeirukia Simba?
We unasema jezi ya yanga na ya Simba Iko wapi apo si mnae inonga kuitwa timu ya Taifa?Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
View attachment 2868572
Mada kama hizi za ki mbumbumbu ndizo zinazofanya watafiti wajiridhishe na ujenzi wa mnara kwaajili ya kumbukumbu ya Ismail Aden Rage.Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
View attachment 2868572
We kolo kwa nini unazungumzia Kongo tu? Wachezaji wote wa Simba na Yanga wana timu zao za Taifa, vipi wote walioachwa ni Magarasa? Kwa hiyo wote waliobaki Simba ni Magarasa? Nadhani una changamoto za kufikiriLicha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
View attachment 2868572
Duuh, uyanga umekutia upofu?We unasema jezi ya yanga na ya Simba Iko wapi apo si mnae inonga kuitwa timu ya Taifa?