Ni aibu sana kijana wa kiume kujisifia kuwa unatongozana na mke wa mtu. Hizi tabia mlijifunzia wapi?

"Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu, wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu, na wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu."

Kipindi unakuwa uliwahi kusikia wakubwa zako wanashare stories za kula na kutongoza wake za watu?

Mke wa mtu ni uchungu uliojificha katika kona ya mbali katika moyo wa mwanaume yoyote.

Ni uchungu ambao hauwezi kuu ona katika nyuso yake ila ni uchungu ambao hata ukimwimbia milioni 10 atakupa nafasi ya kumrudishia taratibu ila ukimla mke wake nae anakufanya mke wake au kukutupa ruvu.

Vijana wamekuwa wadhaifu sana, mtu kabisa anashare chats za kutongozana na mke wa mtu na watu wanamsifia kweli eti "kula huyoo, kula huyoo"
Kwa sisi tuliodumu kwenye ndoa zaidi ya miongo miwili, lawama wapewe wake za watu na si vijana wanaowadinya. Kama mke wa mtu hajabakwa yaani katongozwa tu au amejitongozesha(kajilengesha mwenyewe) au yeye ndiyo amemtongoza kijana bachelor akatoka akaenda chimbo mwenyewe na kumvulia kijana(probably ni kijana wa hovyohovyo tu mtaani kwao ambaye ni jobless kula kulala au ana kibarua flani cha hovyohovyo) na kumkatikia kwa bashasha labda mpaka kumpa asivyompa mumewe inawezekana pia baada ya tendo akamuachia na pesa za kujikimu(za asante kwa shughuli aliyomfanyia) then lawama uache kumpa mkeo ukampe kijana ambaye ni free bird. Kama mkeo ni loose utawakabili vijana wangapi ukizingatia hauna mamlaka juu yao wakati the easiest way that's within your control ni kuhakikisha mkeo haigawi zana 'yenu' mtaani kama peremende. Mkeo akijiheshimu na kuthamini heshima 'yenu' kwa kutoigawa kibwegebwege hautawalaumu vijana ambao kila kilicho loose mbele yao wanakipelekea moto. Mkeo atakuwa salama na wataliwa wake wa wengine wewe ukiona kama ni movie kwenye screen yako.
Chanzo cha vijana kula wake za watu ni wanawake wenyewe labda kama amebakwa(ukitoa ya kubakwa ndani ya ghetto alikojipeleka mwenyewe). Wanawake waheshimu ndoa zao.
 
Ukitaka kujua hiki kizazi ni cha ajabu,yote hayo uliyoandika ila mtu atakachoona ni kuwa usijisifie wala ku share chats za kumtongoza mke wa mtu sio usimtongoze mke wa mtu😄😄😄
 
UKWELI ULIO WAZI NA MCHUNGU KUPOKELEWA NA BINADAMU WA SASA.

DUNIA IMEKUWA FREE NA YA KISASA KIASI KWAMBA VIKOJOLEO HAVIHESHIMIKI TENA.KILA MTU ANAUHURU NA KIKOJOLEO CHAKE BILA KUJALI HISIA ZA YULE AMPENDAE.

HISIA ZETU BADO ZIPO ZINAVIBE NA FREQUENCY ZA ENZI NA ENZI.TUMEUMBIWA UBINAFSI NA MAPENZI HAYAKUUMBWA KWAAJILI YA KUSHEA.

#HALI NI TAFRANI,UKIPENDA IMEKULA KWAKO!!!
 
Hichi kizazi mnakionea bure.
Haya mambo yamekuwepo zama na zama.
Reubeni alitembea na hawara wa baba yake. Imeandikwa kwenye biblia (mwanzo 35:22)

Yuda alimshenyenta Tamari, mkamwanawake akamtia mimba.... Mambo mengi yamesimuliwa kwenye biblia ambayo yanafanyika leo inaonekana ni kizazi kisichojielewa. Kumbe tunapita mulemule.

Nimetumia biblia kama mfano tu, Ili kuonesha hichi kizazi kinabebeshwa zigo la miba ila kila kinachofanyika kipo kwenye DNA zetu.

Tofauti ya sisi na wao ni kwamba sisi tuna social media.
 
"Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu, wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu, na wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu."

Kipindi unakuwa uliwahi kusikia wakubwa zako wanashare stories za kula na kutongoza wake za watu?

Mke wa mtu ni uchungu uliojificha katika kona ya mbali katika moyo wa mwanaume yoyote.

Ni uchungu ambao hauwezi kuu ona katika nyuso yake ila ni uchungu ambao hata ukimwimbia milioni 10 atakupa nafasi ya kumrudishia taratibu ila ukimla mke wake nae anakufanya mke wake au kukutupa ruvu.

Vijana wamekuwa wadhaifu sana, mtu kabisa anashare chats za kutongozana na mke wa mtu na watu wanamsifia kweli eti "kula huyoo, kula huyoo"
Acha waendeleee kudanganyana ila Kuna mafuta ya upako wa bwanaa
 
Ukitaka kujua hiki kizazi ni cha ajabu,yote hayo uliyoandika ila mtu atakachoona ni kuwa usijisifie wala ku share chats za kumtongoza mke wa mtu sio usimtongoze mke wa mtu😄😄😄
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hichi kizazi mnakionea bure.
Haya mambo yamekuwepo zama na zama.
Reubeni alitembea na hawara wa baba yake. Imeandikwa kwenye biblia (mwanzo 35:22)

Yuda alimshenyenta Tamari, mkamwanawake akamtia mimba.... Mambo mengi yamesimuliwa kwenye biblia ambayo yanafanyika leo inaonekana ni kizazi kisichojielewa. Kumbe tunapita mulemule.

Nimetumia biblia kama mfano tu, Ili kuonesha hichi kizazi kinabebeshwa zigo la miba ila kila kinachofanyika kipo kwenye DNA zetu.

Tofauti ya sisi na wao ni kwamba sisi tuna social media.
Kumbe mpaka yuda nae yupo
 
Hivi Yule Jamaaa Yupo Wapi saivi? alikua Anacoment "Kazi Kweli Kweli " Zingatia Neno Kazi Kweli Kweli
 
Watu hawaogopi sikuhizi dah hali ni mbaya sana huku kitaa.
 
Huwa hawawazi kuwa kama baba yake angekuwa anachapiwa pia ingekuwaje?

Tabia za kishetani vijana acheni
Mnakataa ndoa kuogopa majukumu ya kulea kwa sababu ubunifu zero
Fokeni sasa
 
Back
Top Bottom