funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka kujiendekeza kufanya kazi kienyeji bila kufuata utaratibu inaniumiza na inaumiza juhudi za Taifa.
Niwashawishi mamlaka zote za serikali na za jamii kuwasimamia,kuwaelimisha na kuwaonesha dira wafanyabiashara wote wa usafirishaji ili wawe modernized na wazingatie taratibu.
RC Chalamila na ma DC wako kazeni kamba tufanye mabadiliko.
N.B :AI summary has grossly misinterpreted my thread.I sotherefore argue and request every reader to ignore such a wrongly intepreted AI VERSION