Hicho kinachotokea ni fursa. Badala ya kulaumu...Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka kujiendekeza kufanya kazi kienyeji bila kufuata utaratibu inaniumiza na inaumiza juhudi za Taifa.
Niwashawiahi mamlaka zote za serikali na za jamii kuwasimemia,kuwaelimisha na kuwaoneaha dira wafanyabiashara wote wa usafirishaji ili wawe modernized na wazingatie taratibu.
RC Chalamila na ma DC wako kazeni kamba tufanye mabadiliko.
Miaka na miaka tunaongelea uwekaji wa miundombinu ili kuindoa huo utitiri wa wasiofuata taratibu...Mabadiliko yanaanza kwa:
Kujenga miundombinu sahihi
Kuweka huduma za kijamii
Kuondoa bajaji na boda boda
Kuondoa machinga kwenye pedestrian road.
Sio kukurupuka kuumiza kundi moja
huwezi kuwa na parking lot kwa kila tajiri aliyejikopea bank ...tuna ambition ya kuwa na kituo cha basi kwa kila kaya.??huo ni upuuziHicho kinachotokea ni fursa. Badala ya kulaumu...
Serikali ijiongeze... Chalamila atafute washauri makini!
Vipi wakijenge parking na service lots za malori. Waweweke huduma zote muhimu.
Kuhusu mabasi serikali isilazimishe matumizi ya stendi. Idea ya stendi kuu kwenye majiji mengi ishapitwa na wakati! Abiria wao waachieni mabus yafanye biashara... Kusanyeni kodi!
Kuhusu yard za magari, watenge maeneo mbali mbali wajenge ma-yard. Wanunuzi wapo wengi ndo maana soko linawarahisishia!
Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka kujiendekeza kufanya kazi kienyeji bila kufuata utaratibu inaniumiza na inaumiza juhudi za Taifa.
Niwashawiahi mamlaka zote za serikali na za jamii kuwasimemia,kuwaelimisha na kuwaoneaha dira wafanyabiashara wote wa usafirishaji ili wawe modernized na wazingatie taratibu.
RC Chalamila na ma DC wako kazeni kamba tufanye mabadiliko.
Unataka kusema Mbezi Terminal imejengwa kwaajili ya Bajaji mkuu?Mabadiliko yanaanza kwa:
Kujenga miundombinu sahihi
Kuweka huduma za kijamii
Kuondoa bajaji na boda boda
Kuondoa machinga kwenye pedestrian road.
Sio kukurupuka kuumiza kundi moja
Ukisoma vizuri mawazo yake utagundua hata yeye mwenyewe hajaelewa amecomment nini ,inshort kachanganyikiwa 😂Unataka kusema Mbezi Terminal imejengwa kwaajili ya Bajaji mkuu?
Suala sio kujenga Tu, ni kujenga Kwa mpangilio, sasa Barabara ya Shule ya Uhuru iliyo jengwa wakati wa Uhuru wakati idadi ya Wana DSM ilikuwa 400,000 inaweza kuhimili idadi ya watu 2,000,000.Miaka na miaka tunaongelea uwekaji wa miundombinu ili kuindoa huo utitiri wa wasiofuata taratibu...
Soko la kariakoo limejengwa
Machinga complex imejengwa
Mwendokasi imejengwa
Magufuli stand pamoja na stand ta daladala karibu yake imejengwa ...yote haya ni kujibu changamoto hiyo na inayofanania halafu leo tunaleta ujeuri???
Je mafisadi wao wanafuata utarayibu?Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka kujiendekeza kufanya kazi kienyeji bila kufuata utaratibu inaniumiza na inaumiza juhudi za Taifa.
Niwashawiahi mamlaka zote za serikali na za jamii kuwasimemia,kuwaelimisha na kuwaoneaha dira wafanyabiashara wote wa usafirishaji ili wawe modernized na wazingatie taratibu.
RC Chalamila na ma DC wako kazeni kamba tufanye mabadiliko.
N.B :AI summary has grossly misinterpreted my thread.I sotherefore argue and request every reader to ignore such a wrongly intepreted AI VERSION
Nchi ambayo kuiba kura ni jambo la kawaida haiwezi kuwa na mifumo ya usimamizi ya kuwajibika. Rushwa itatamalaki, makada na mashabiki wa chama tawala watapuza kila kitu kwa sababu wizi katika uchaguzi umewafanya waamini kwamba Sheria na kanuni ni kwa ajili ya usanii au watu wasiopenda ccm.Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka kujiendekeza kufanya kazi kienyeji bila kufuata utaratibu inaniumiza na inaumiza juhudi za Taifa.
Niwashawiahi mamlaka zote za serikali na za jamii kuwasimemia,kuwaelimisha na kuwaoneaha dira wafanyabiashara wote wa usafirishaji ili wawe modernized na wazingatie taratibu.
RC Chalamila na ma DC wako kazeni kamba tufanye mabadiliko.
N.B :AI summary has grossly misinterpreted my thread.I sotherefore argue and request every reader to ignore such a wrongly intepreted AI VERSION
Naona umewalenga wenye mabasi ambao hawawabugudhi wananchi mitaani kama wafanyavyo wenye malori. Mimi ninaishi eneo lenye zinazoitwa bandari kavu, zipo siku tunaamka asubuhi na kukuta malori zaidi ya 30 yameziba barabara, bahati mbaya wewe na huyo Chalamila hamuoni kuwa ni tatizo. Mimi sijawahi kukuta mabasi yameziba barabara wala kusababisha foleni, hata huko kwenye barabara za mikoani hautakuta mabasi zaidi ya 5 yakiongozana.Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka kujiendekeza kufanya kazi kienyeji bila kufuata utaratibu inaniumiza na inaumiza juhudi za Taifa.
Niwashawiahi mamlaka zote za serikali na za jamii kuwasimemia,kuwaelimisha na kuwaoneaha dira wafanyabiashara wote wa usafirishaji ili wawe modernized na wazingatie taratibu.
RC Chalamila na ma DC wako kazeni kamba tufanye mabadiliko.
N.B :AI summary has grossly misinterpreted my thread.I sotherefore argue and request every reader to ignore such a wrongly intepreted AI VERSION
Mipango miji Tanzania ni zero, ilitakiwa parking, barabara pana mbili au nne hata sita mijini, bustani za mapumziko na masoko makubwa yanayofanya kazi 24 hours.Hakuna mfanyabiashara wa kupambana na dola. Wafuate utaratibu. Sheria ifuatwe. Wafanyabiashara wanaofanya biashara barabarani nao watolewe hasa Kariakoo. Barabara hazipitiki kabisa.
Unafikiri ni kujenga tuu 😁, chenga tupu weweMiaka na miaka tunaongelea uwekaji wa miundombinu ili kuindoa huo utitiri wa wasiofuata taratibu...
Soko la kariakoo limejengwa
Machinga complex imejengwa
Mwendokasi imejengwa
Magufuli stand pamoja na stand ta daladala karibu yake imejengwa ...yote haya ni kujibu changamoto hiyo na inayofanania halafu leo tunaleta ujeuri???
Halafu nyie ndo mnataka Katiba mpya wakati hamtaki kufuata taratibu za kawaida. Ndo maana wanaoliliaga katiba mpya nawaonaga kama punguani tu.Hicho kinachotokea ni fursa. Badala ya kulaumu...
Serikali ijiongeze... Chalamila atafute washauri makini!
Vipi wakijenge parking na service lots za malori. Waweweke huduma zote muhimu.
Kuhusu mabasi serikali isilazimishe matumizi ya stendi. Idea ya stendi kuu kwenye majiji mengi ishapitwa na wakati! Abiria wao waachieni mabus yafanye biashara... Kusanyeni kodi!
Kuhusu yard za magari, watenge maeneo mbali mbali wajenge ma-yard. Wanunuzi wapo wengi ndo maana soko linawarahisishia!
Unamimina mitusi alafu unakuja kukubaliana na uliyemtukana!Halafu stendi si kwa ajili ya kupack mabasi, ni kwa ajili ya kuingia na kuchukua abiria. Kama kuna ulazima, zijengwe stendi nyingine, gari likitoka magufuli linapitia abiria kwenye hizo stendi ndogo rasmi zenye miundo mbinu siyo kama ilivyo dar na dodoma. Mbona huu ujinga mikoa mingine haupo?