Ni aibu sana kuwa na wafanyabiashara wasiotaka kufuata utaratibu!

Mabadiliko yanaanza kwa:
Kujenga miundombinu sahihi
Kuweka huduma za kijamii
Kuondoa bajaji na boda boda
Kuondoa machinga kwenye pedestrian road.
Sio kukurupuka kuumiza kundi moja
Yaani kisa limtu ni likuu la mkoa linaibuka tu ghafla baada ya kula maharagwe yake kwake bila utafiti wala weledi lina kuja na maamuzi mazito kwenye maisha ya watu!
Ovyo sana!
 
Kama unasgindwa kutekeleza sheria zilizopo halafu unasubiria katiba mpya huo ndo upunguani wenyewe. Kila siku tunatafuta sababu ya kujifariji kwa kutokuwajibika.

Hayo mabsi yatakuwa yanatokea parking Yard zao binafsi ambazo haitakiwi kuwa sehemu ya kuchukulia abiria, inatakiwa ifike stendi muda mfupi na kuchukua abiria na kuondoka.

Mbona kipindi stendi ilipokuwa Ubungo hizo stendi bubu hazikuwepo. Ndo nyie mnataka mbane wengine kwa vile hakuna maslahi yenu, yakiguswa maslahi yenu mnapiga kelele.

Fuateni taratibu, acheni janja janja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…