kritika
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 410
- 1,156
Yani unakuta limwanaume linanunua keki kabisa, linanunua vikofia vile vya watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti maandalizi ya birthday yake, wanaume wameisha tanzania.
Kusheherekea ni utoto sana ile unakaa sehemu na marafiki zako,mpenzi wako mnakunywa na kula kimya kimya sio lazima uimbiwe happy bday kama mtoto wa chekechea ni aibu sana kwa wanaume wa tanzania, na haka katabia kakumwagiana maji ndio upuuzi wa hali ya juu, baba jitu zima na mdambi wake tai kubwa unakuta linakimbizana na ndoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii aibu sijui hata tuifiche wap.
Niwatakie siku njema ya kuzaliwa
Mshana Jr
hazard cfc