Ni aibu sana kwa mwanaume 27+ kusherekea kwa vitendo siku yako yakuzaliwa

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Yani unakuta limwanaume linanunua keki kabisa, linanunua vikofia vile vya watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti maandalizi ya birthday yake, wanaume wameisha tanzania.
Kusheherekea ni utoto sana ile unakaa sehemu na marafiki zako,mpenzi wako mnakunywa na kula kimya kimya sio lazima uimbiwe happy bday kama mtoto wa chekechea ni aibu sana kwa wanaume wa tanzania, na haka katabia kakumwagiana maji ndio upuuzi wa hali ya juu, baba jitu zima na mdambi wake tai kubwa unakuta linakimbizana na ndoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii aibu sijui hata tuifiche wap.

Niwatakie siku njema ya kuzaliwa

Mshana Jr

hazard cfc
 
Huu sasa tuuiteje wivu wa kike [emoji2]
 
Hao ni mashoga
 
wanume wa dar ndio wana tabia hizo,sisi wa mikoani muda wote tupo mashambani hatuna ujinga huo wa kike...so mleta uzi jitahidi kuwa specific with your target of thoughts...
Ha ha ha ha ha ha ila kweli haya mambo yanafanywa sana na wanaume wa Dar
 
Asee unimwagie maji takupa nako kama za elfu 9 hadi uvimbe mamamaeee
 
Mmh. Kila mmoja atajifanya kukubali alichokiandika kritika ila nje ya hapo ni jambo la kawaida tu Mbona.

Ki jf jf huenda ikawa hamjapata wa kuwaandikia tu hizo nyuzi za birthday ndio sababu mnaponda.

Ukweli usemwe na sio kufuata tu maji yanakoelekea. Hakuna ubaya kwa upande wangu mtu asherehekee au asisherehekee yote naona ni sawa.
Mi nadhani hajazungumzia nyuzi kasema wale wanaosherekea kwa kuifanya ni tukio kubwa kabisa kuandaa na party kuvaa vikofia n.k
 
Back
Top Bottom