Ni aibu sana kwa mwanaume 27+ kusherekea kwa vitendo siku yako yakuzaliwa

Asante mamiii,

Vipi tushainasa saini ya ali mayai?? Kwasababu ndio tunaowasajili siku hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu.

Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti. Nimeamua kufunga macho na kuziba msikio nisifuatilie kinachoendelea sababu naona mauza uza tu mpaka msimu ukianza.
 
Mwanamke una nongwa weye. Huna jema?Kijijini kwetu tunaita nongwa ndodi!
 
Wanaiga wazungu,mi saiv nna 20+ lakin sikuwah na sitakuja kufanya shereh ya hbd yangu, ni matumizi mabaya ya fedha. Umri wako wa kuishi unaisha we unafurahia!!! Au unadhani ni ujanja wako kuifikia hyo siku ya hbd yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…