Ni aibu sana kwa mwanaume 27+ kusherekea kwa vitendo siku yako yakuzaliwa

Ni aibu sana kwa mwanaume 27+ kusherekea kwa vitendo siku yako yakuzaliwa

Tarehe 27.08. 2018 nawakaribisha marafiki,na jamaa zangu wote katika kuadhimisha miaka kadhaa toka nimezaliwa duniani. Karibu tujumuike.Maisha yenyewe mafupi hakuna atakayekupa tuzo ya kujipa stress kwa mambo yasiyokuhusu sanasana unajipunguzia siku za kuishi tu.
 
Miaka ya kusheherekea ni 5 anapokuwa mtoto,halafu 10,20,30 na 40 sheherekea ili kumshukuru Mungu,sheria ya birthday ni lzm kuwepo keki,kama hakuna keki usifanye sherehe,ila hayo mambo ya kumwagiana maji mmeyatoa wapi? Mi nimeshiriki sherehe nyingi sana nchi za watu lkn sijaona watu wakimwagiana maji
Nalog off
 
Back
Top Bottom