Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

we huna adabu eh? yaani sisi.walume ndago tusio na magari unatuita si wanaume?shenzi wewe mimi nikinunua gari shughuli zangu za kuuza njugu nazifanyaje? yaani umekaa na wajinga wenzako ukaona gari ni lazima halafusijui nani angekuwa muosha magari mkeo? yaani pimbi wewe unaniambia ninue passo nikalimie kule kiendahazo au kipombile au nikavunie korosho ntwara? we bwege unadhani hata sie watu tukeshao baharini kwa uvuvi tunaihiraji sana hiyo gari na kutokuwa nayo uanaume wetu una mushkeli?yaani wewe...!
 
Haiwezekani wanaume wote WA Dar wakamiliki MAGARI... Daladala Atapanda nani???? Foleni hizi za Dar wote wakimiliki Gari si shreeeda...... Lakini pia Gari ni hobby ya mtu wengine wana pesa lakini hawana magari
 
Wacha kukariri maisha babu yako hakua na gari ukute hata punda alikua hana
 
Babako ana mangapi.
 
Katika wapumbavu wa kufunga mwaka ni huyu mleta mada. Ilifaa apate kupumzika kwa muda. Unamaanisha wanaume w0te milioni 14 wawe.na magari.
 
Hata wenye madegree watakushangaa hapa kuwa hata cheti kilichomshinda .....te huna licha ya wazazi wako kukupeleka shule
 
Ila kweli, umeleta issue yakitoto sana,nakupa miaka kumi ukiendelea na mawazo ya namna hii ujue uwezi kukua kiakili
 
We mwenyewe mkuu umepanga hata hiyo gar huna na ninakufahau kuliko unavojua au niweke pich yako hapa?
 
Jamii Forum imejaa wajinga wengi sana siku hizi.
 
We ukimiliki gari unakuwa na akili !? We kweli hamnazo
 
kuna watu was3Πge kinoma yani watu wanakosa hata hela ya kula wewe unazungumzia gari kuwen serious bhna
 
wewe ni limbukeni kama shemeji
 
Kuwa Na gari haimaanishi hauwezi hauwezi kupanda basi au daladala
 
Si kila MTU anapenda kuwa na gari. Wengine hupendelea kwenda kazini bila gari na uwezo wanao
 
We kama Mungu kakujaalia kupata gari, Mshukuru.
Pia utambue, kila mtu ana kipaumbele chake kwenye maisha, kuna mtu ana nyumba hata 5, lkn hana mpango wa kununua gari.
We komaa na magari, then ukija zeeka ulale humo humo.
 
Labda kama unataka kujenga "pagala" na sio nyumba.

Tegemea kuitwa baba pagala.
nyie watoto wa mikoani ndio hamuelewi principal za mjini...!!
aya nenda kalime viazi tule chips kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…