124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
we huna adabu eh? yaani sisi.walume ndago tusio na magari unatuita si wanaume?shenzi wewe mimi nikinunua gari shughuli zangu za kuuza njugu nazifanyaje? yaani umekaa na wajinga wenzako ukaona gari ni lazima halafusijui nani angekuwa muosha magari mkeo? yaani pimbi wewe unaniambia ninue passo nikalimie kule kiendahazo au kipombile au nikavunie korosho ntwara? we bwege unadhani hata sie watu tukeshao baharini kwa uvuvi tunaihiraji sana hiyo gari na kutokuwa nayo uanaume wetu una mushkeli?yaani wewe...!Wana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu