Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa naangalia kituo kimoja chakusafisha maji miswungwi ni hatari sana maji yanachkuliwa pembezoni mwa ziwa ambamo Kuna uchafu ,mbolea kutoka ktk mashamba n.k Bado tunatumia njia za zamani sana kwenye hiliYaani inasikitusha mpaka leo hatuwezi kupata maji safi na salama. Lakini serikali kila siku kujigamba!
Ile Fluoride imezidi aisee..Maji mabovu yameharibu sana meno ya watu wa Arusha na kuwapa meno ya dhahabu
Naenda huko moro ,mbeya maji yanatoka ya kijaniwewe ndo unawakumbusha mdaa huu kama kuna kusafisha maji wao wanajua kusambaza tu na maji yanatoka na rangi tena ya udongo na wakati maji ni colourless
oyaaah hii balaa aiseeNaenda huko moro ,mbeya maji yanatoka ya kijani