Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wakuu habari zenu popote mlipo. Poleni na hongereni kwa mapambano yenu dhidi ya kirusi corona.
Katika jamii kuna watu ambao wana ka tabia ka kuuliza mambo binafsi ya watu.
Leo ningependa tutumie ukurasa huu kuambiana aina ya maswali ambayo huwa yanaweza kumkera anayeulizwa kwa namna moja au nyingine.
Haya ni maswali ambayo hata ukiyatolea majibu kwa anayeuliza , hawezi kukusaidia kwa lolote zaidi ya kukusanya taarifa zako.
Mfano wa maswali ambayo naona watu huwa hawapendi kuulizwa ni kama.
1. Dada una miaka mingapi ?
2. Kaka mkeo atazaa lini ?
3. Dada utaolewa lini?
4. Hauchoki kukaa kwenye nyumba ya kupanga
5. Dada una miaka mingapi ?
6. Kwanini haununui gari mpya
7.
Na kadhalika na kadhalika.
Mwana jf ebu tuambie ni maswali yapi ambayo huwa hupendi kuulizwa ovyo ovyo ?
Sent using Jamii Forums mobile app