Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
- Thread starter
- #21
It irritates many of them ladiesUmeolewa?
Kwa wadada hii above 30 hii[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It irritates many of them ladiesUmeolewa?
Kwa wadada hii above 30 hii[emoji41][emoji41]
Hao wengi madish yameyumbaKuna wale unaanzisha uzi wanauliza "Wapi picha..?"
Halafu uzi wenyewe ni swali umeuliza "jamani msaada wapi naweza pata nyumba ya kupanga"
Linatokea kenge huko linauliza wapi picha![emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wengi hawapendi hilo swali hasa wale wa 30+"Dada una miaka mingapi" naona umelirudia hilo litakua swali hatari sana
So irritating> Wewe ni bikra
> Aliyezaa na wewe kwa nini hajakuoa
Maswali ya kiwackUnamishe gani siku hizi?
Uko wapi?
Vp, unamuonaje demu wangu?
Vp, ushakula yule demu?
Mbona na wewe umepeleka gari zako ruti ile?
Mbona na wewe umefungua biashara ileile palepale?
Sasa kama namtaka awe maza hausi unataka nichukue bibi kizee?? Je, kama nikikutana naye kwenye dala dala kipindi hiki mashule yamefungwa niache kuuliza umri?? Au una maanisha kuwa unamwuliza ana miaka mingapi tangu ameonjwa?1. Dada una miaka mingapi ?
Kuna ile hali mtu anauliza maswali ambayo hata akipewa majibuSasa kama namtaka awe maza hausi unataka nichukue bibi kizee?? Je, kama nikikutana naye kwenye dala dala kipindi hiki mashule yamefungwa niache kuuliza umri?? Au una maanisha kuwa unamwuliza ana miaka mingapi tangu ameonjwa?
Kuna mwanamke kichwa wewe aliniuliza kabila languWewe kabila gani/dini gani?
Una mkeUnafanya kazi wapi?
Naweza kumwelewa mwanamke akiniuliza ilo swali, ila mwanamke akiniuliza nishindwa atakufake kua haijanikwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakera aiseeKuna demu aliniuliza kabila langu
Kuanzia pale mazoezi yakaanza kupungua
I felt so dissappointed
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849] sawa shingoInakera aisee
Alafu siyo demu..mwanamke kichwa wewe
Huyo ni mpuuzi mpuuzeni tuKuna ile hali mtu anauliza maswali ambayo hata akipewa majibu
Hana matumizi nayo
Sent using Jamii Forums mobile app