Ni aina gani ya maswali ambayo siyo busara kuuliza ovyo ovyo?

1. Dada una miaka mingapi ?
Sasa kama namtaka awe maza hausi unataka nichukue bibi kizee?? Je, kama nikikutana naye kwenye dala dala kipindi hiki mashule yamefungwa niache kuuliza umri?? Au una maanisha kuwa unamwuliza ana miaka mingapi tangu ameonjwa?
 
Kuna ile hali mtu anauliza maswali ambayo hata akipewa majibu
Hana matumizi nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom