Ni aina gani ya maswali ambayo siyo busara kuuliza ovyo ovyo?

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
20,778
Reaction score
28,722
Wakuu habari zenu popote mlipo. Poleni na hongereni kwa mapambano yenu dhidi ya kirusi corona.

Katika jamii kuna watu ambao wana ka tabia ka kuuliza mambo binafsi ya watu.

Leo ningependa tutumie ukurasa huu kuambiana aina ya maswali ambayo huwa yanaweza kumkera anayeulizwa kwa namna moja au nyingine.

Haya ni maswali ambayo hata ukiyatolea majibu kwa anayeuliza , hawezi kukusaidia kwa lolote zaidi ya kukusanya taarifa zako.

Mfano wa maswali ambayo naona watu huwa hawapendi kuulizwa ni kama.

1. Dada una miaka mingapi ?
2. Kaka mkeo atazaa lini ?
3. Dada utaolewa lini?
4. Hauchoki kukaa kwenye nyumba ya kupanga
5. Dada una miaka mingapi ?
6. Kwanini haununui gari mpya
7.

Na kadhalika na kadhalika.

Mwana jf ebu tuambie ni maswali yapi ambayo huwa hupendi kuulizwa ovyo ovyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Dada una miaka mingapi" naona umelirudia hilo litakua swali hatari sana
 
Unamishe gani siku hizi?

Uko wapi?

Vp, unamuonaje demu wangu?

Vp, ushakula yule demu?

Mbona na wewe umepeleka gari zako ruti ile?

Mbona na wewe umefungua biashara ileile palepale?
 
Back
Top Bottom