Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Tresa

Senior Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
131
Reaction score
235
Habari zenu wajameni,

Nahitaji msaada kujua aina ya miti inayokua kwa muda mfupi, yenye kivuli kizuri na show nzuri.

Iwe environmental friendly, Yasiwemakazi ya wadudu. nmekua curious kutengeneza backyard Garden sehemu ambayo ntaitumia kupumzika na kusoma.
 
Macadamia nuts kwa kilugha chetu wanaita Karanga miti. Ni nzuri na evergreen all the year around.
 
kuna mti mie ninao kwangu ila bado mdogo huu mti nasikia waarabu na wapemba wanaupenda sana ..jion unatoa harufu nzuri sana sana ht ukikata jani.lake utaisikia ile harufu.. utafte huo..nimeusahau jina..una majani mapana
 
Sijui jina
1543225129115~2.jpeg
 
Back
Top Bottom